miss tz wema sepetu akiwa amkaa na mgeni rasmi naibu meya wa ilala mh. yakubu kwenye shoo ya mitindo ya lady in red leo hoteli ya movenpik

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. dah Huyu mtoto mkali nasikia vogogo ndio wanachukua ni kweli?

    ReplyDelete
  2. Mhhh!! huyu Meya atakumeyamenda,maana naona hapo amejiachia bureeeeeeeeeeee!! na wewe kila siku minyama inaongezeka tuuu!!

    haya Mzee meya ushindwe mwenywe ngoma umeletewa mpka japa hilo linameremeta tuu na mimacho imekutoka kama mjusi imebanwa na mlango!1

    ReplyDelete
  3. Hivi ni kweli kuwa wanawake wetu ili wawe warembo lazima wabadili asili ya nywele zao kwa kuzichoma zifanane na za wazungu au wahindi! Tazama madukani kulivyojaa nywele za marehemu (za bandia). Hivi tutajidharau mpaka lini? Hivi kama kweli unajiamini na kujithamini kuwa umezaliwa mkamilifu ya nini kujipachika minywele ya watu wenye asili tofauti na yako? Nakereka sana na hali hii!Siku moja nilikuwa nimefuatana na mzungu mmoja wa kike akaniuliza "Why is it so that every woman here has straightened her hair?" Hakika nilijisikia soni sana. Sikumjibu!Hakika kuna haja ya kuanzisha kampeni maalumu ya kuwaelimisha Watanzania kujiamini ini na kuthamini utu wetu.

    ReplyDelete
  4. huyu mdada jamani, hiyo mibaba itakubemenda, unajiachiachia tu, ndiyo maana sifa yako chafuuuuuuuu, hujanivutia kabisa kipindi cha umiss TZ wako.

    ReplyDelete
  5. The body language tells it all!

    ReplyDelete
  6. Huyu mtoa comment ajiitaye Gegedu kwakweli ananichefua kila nikisoma comment zake,inaelekea kwanza hata darasa la saba hakumaliza.Kama kiswahili Lugha yake anashindwa kuandika,anajua nini huyu?
    Pia awe mstaarabu na comment zake

    ReplyDelete
  7. Dada yetu Wema naona siku hizi anabadilika mhh...hiyo nguo haya sisemi sana...ningependa kutoa maoni kwa ''Sunday,February 11,2007 10:39:00 AM,Mtoa Maoni:Anonymous'' Ni kwamba wasichana na wanawake wengi wa kiafrika ikiwemo tanzania wanapenda nywele feki kwasababu nyewele zetu hizi za kiafrika ikifika muda wa kuchana zinauma mimi kama msichana mwenye nywele lakini zina dawa ni kwamba unajaribu kupunguza maumivu na kama huniamini basi jaribu kufuga nywele halafu utaona ninamaanisha nini na wanaume wengi wanalaumu na kulaani hizi nywele za bandia ila zina nafuu yake.Na ningependa kuomba msamaha kwa Mungu ni kwamba nywele alizotujalia zinauma.Asanteni

    ReplyDelete
  8. Watu mbona mnachonga sana kwa huyu Demu..mwachani aishi maisha yake ya kuvua chupi, halafu Wema nilikutana naye nilipokuwa bongo...kwenye buffer fulani Ee bwana mtoto una bonge la figure ila chunga usijiachie sana utanenepa sana.ila unavutia hasa kwenye picha yako iliyiko kwenye mahusiano.com mpaka kitu ndani kinaonekana du hatari sana wewe mtoto.
    Jamani nani anawapa madaraka wamanga na wahindi kuongoza nchi yetu vipi watanzania halisi wameisha nini tunaanza ku-import viongozi.Tangu lini mwarabu akawa na uchungu na Tanzania hao walaji . Watanzania amke si shwari.tena......dunia imebadilika hao watu tunaowapokea kutana nao kwao au sehemu nyingine wanavyokubagua kuliko hata wazungu wanafiki sana hao...

    ReplyDelete
  9. wewe unajiita GEGEDU hizo comment zako za zimejaa pumba za mashineni.

    ReplyDelete
  10. mhe meya, naona kitu tayari iko yard! nakuaminia mkuu....

    ReplyDelete
  11. Yaani uyu wema kila nikimuona live au kwenye magazeti anazidi kunichefua na tabia yake mbaya lione kwanza ndio maana unatoka ma hipsi ya ajabu aise ulivyo kuzalilisha sisi wasichana mpaka napata hasira nikusikiapo popote pale,we unajianika utafikili hujawai kuwa na BF kwani ni nani asiyefanya mapenzi akishakuwa mkubwa ila ww unajiona ata ngoja nijianike shenzi weee,nenda shule urembo haukufai kabisa na isitoshe ukipiga picha haitoki vizuri kwaajili la ilo domo lione kwanza bora siku ziende ukabidhi uanze zako mbele kwa mbele.huna maana ata kidogo kwa jamii sijasikia ukitoa msaada ata mara moja we mtoto sijui umelelewa vp angalia wenzio wakina Joket,lisa na wengine wote dada zako walivyo tulia kwani hawana wachumba ila ww ndio unamchumba na mmeamua kujianika lione baya na tabia yako chafu kama mavi.SIKUPENDI KWA TABIA YAKO MBAYA SANA.SIJUI IKO SINZA NDIVYO UNAVYOISHI YAANI NIMEKUTOA THAMANI SANA.MJMM.

    ReplyDelete
  12. Naona unanijua sana siyo ndiyo maana unataka kuchonga sana kwangu,sema kama unataka vidole cunt!!nimeshakuja wewe ni nani slut!!

    ReplyDelete
  13. Anonymous wa Feb 12 9:46pm. You are despicable! Your language is crude and you lack manners! Have some respect for one's dignity. Wema is just a victim of circumstances. I hope you are not a lady!!! Ladies are meant to be decent and watch their language! Please take note that even though you are anonymous, it is still shocking to see a certain kind of language being used. Have some decency please!

    ReplyDelete
  14. In addition to my other comments! I think Anonymous was Feb 12 9:46pm needs help. You could be a psycho by all means. How could you hate someone that much when you don't even know her!? You need to see a shrink for sure. I think Wema is gorgeous and probably that's what's making you freak out. If you're not as pretty, then get used to it! But seriously, get help.

    ReplyDelete
  15. Loh!Hili liwe funzo kwa kina Lundenga.Ushindi huu ulikuwa wa Joket,lakini kwa kuwa mtoto wa watu hajui fitna za miss bongo,mkampa huyu kituko.Sijawahi kuona,since 92 picha chafu za miss Tz gazetini.Wema umevunja rekodi.Haya,unavyopenda watu maarufu,Mh Meya..............!KMB

    ReplyDelete
  16. anonymous tuesday,february 13,2007,1.01.00pm.wewe ndio wa kusema sisi watanzania hatumjui wema??? unataka tumjue kwa namna gani zaidi ya hii tunayomjulia?? mimi ningekuwa wewe nisingejibu bcoz huyo mtu unayemtetea kwanza kiukweli hana uzuri wowote, naona by saying she's cute, baby umetutukana wasichana wote wazuri ambao tuko tanzania hii. Mbali na kuwa mbaya wa sura na kila kitu bado tabia yake ni mbaya tena sio mbaya tu, chafu inanuka, wewe unataka kuniambia wema is a lady??? what kind of a lady is she??? i think i need to be educated on that, coz if she's not a lady by your definition then she's not suppose to be treated as a lady. tukija kwenye lugha iliyotumika kuelezea uchafu wa huyo wema eti ni chafu, mbaya mimi nadhani kilichoandikwa ni kiswahili fasaha na ni ukweli mtupu bcoz kama asingeyataka haya angejiheshimu ukizingatia she is our ambassador na kuliheshimu taifa pia, how can she behave like that and expect we tanzanians to keep quite, does she has "dignity"?? as you said?? or tunatofautiana katika uelewa kwenye hilo??? i am a lady thus why i have decided to write all that nafikiri kama unaakili na uwezo wako wa kufikiri ni mzuri utakaa kimya bcoz ukiendelea utasababisha mengine yaliyofunikwa yafunuliwe, eti wema is just a victim of circumstances please get serious!!!

    ReplyDelete
  17. Nyinyi Watanzania mnayemshambulia huyu binti ni wapumbavu, kwani sioni mantiki yoyote ya mashindano ya uzuri wa wanawake. Mwanamke anyeshinda hayo mashindano sio maanaye ndiyo mzuri kupita wote au .....the all thing is just money making machine for the organizers and whoever is gonna win. Please, don't hate her, hate the game. You know what I mean! This beauty contest in Tanzania is just putting down women as play toys for men.......

    ReplyDelete
  18. Naibu meya Uislamu utatushinda.Kama wanatupenulia tupaja hivi.Wallahi mimi uislamu utanishinda.

    Lakini tupaja twenyewe hovyo twembamba, tumekaukiana utafikiri miwa koko ya Dodoma.Hata hatunipi nyege!!

    Mwanamke paja!mwanangu.

    ReplyDelete
  19. We anon Tuesday 13; 8:28 hapo juu unaonekana unanuka WIVU! Tena wivu wa kulipuka ambao unaweza kukulipua wewe mwenyewe usipoangalia! Wema hana tatizo lolote. Mengi yameongelewa kuhusu uzuri wa sura. Hiyo ni mtizamo wa mtu binafsi, na si mjadala. Ila kwa Wema kufaya chochote alichofanya sidhani kama ni issue kuliko zako wewe dada wewe! Tatizo ni mwamba hatkujui, lakini profile yako ikiwekwa wazi, inaonyesha mambo ya ajabu kabisa kabisa. Sioni ajabu kusikia kuwa Mrembo katembea na mtu fulani. Ni msichana huyu, tena ana mvuto naye anavutika kama alivyo msichana yoyote yule. Mnataka akaye ndani! Wapiga picha ndo tatizo. Hilo liko sehmu zote Dunaini, hasa ukiwa celebrity. Wema hakufanya baya. Ila wafuatiliaji ndo wabaya. Wanataka waonekane wao wazuri. Sana sana kinawauma sana kwa kumsoka, TID kapata. Wasubiri, wanaweza pata, lakini labda siyo sasa hivi. mwacheni WEMA aitwe WEMA ana afanye mambo yake atakavyo. Kitawauma na kitapoa. Sana sana mtapata presure bure!

    ReplyDelete
  20. The phenomenon of the paparazzi was for a long time not widely familiar to much of the world, and more-so the developing section of it.

    It was cast into sharper focus when, in the course of pursuing Britain`s Diana Princess of Wales and her companion Dodi Al Fayed in Paris nearly ten years ago, their car crashed and they died.

    The paparazzi are eager to capture images of celebrities that they deem juicy enough to excite viewers, and which rake in lots of money for that breed of photographers.

    But whereas they do not wish the targets of their lenses dead which would be defeatist, because their livelihoods depends on them their zeal causes tremendous stress on the targeted individuals, who, in their bid to steer clear of the paparazzi, may court risks to life and other forms of tragedy .

    Here at home, the local version of paparazzi culture, has verily taken root. It has yet to, and maybe won`t, assume the sophistication of the paparazzi proper whose characteristics include pursuing virtual prey with heavy, speeding motorbikes, and camping at, or near sites where celebrities are engaged in social events or having fun.

    But still, the aspect of intrusion into the privacy of individuals is real. It is indeed paradoxical that while stardom or celebrity status is something that enables an individual to wallow in glory, he or she is simultaneously angry, emotionally disillusioned or psychologically wrecked due to one`s private life being constantly subjected to microscopic observation.

    Granted, as ceratin circles argue, celebrities should be social role models, must therefore conduct themselves positively, and be shamed through exposure if, or when they misbehave.

    Like clerics, teachers, politicians, parents and guardians, like should be beacons of moral conduct.

    We do not condone rotten social behaviour, but in the course of exposing it, privacy as a human right and an expression of liberty should not be ignored.

    Placing a celebrity under 24-hour surveillance, keeping track of whatever one says, does, whichever building or room one enters, and casting suspicion over whoever one meets, chats with, and shares a restaurant table with, compromises that right; that liberty.

    And increasingly, it is not just celebrities who are targeted, and the outcome is in extremely bad taste, such as presumed adulterers pictured stark or half-naked in guest houses and the prints published in newspapers !

    A judicious balance must be struck and boundaries drawn on the issue.
    It will be a sad day indeed, if we get to a point where two lovers fear to kiss one another in a private setting, for fear that someone may ``steal`` the scene on camera, have the picture published in a newspaper to the accompaniment of a speculative caption !
    That day should not dawn !

    ReplyDelete
  21. Anons hapo juu hakuna haja ya kugombana kuhusu Wema.
    Anon mwingine unaonyesha chuki kubwa kiasi naona mpenzi wako alimpenda Wema na akakuacha! Hapo sasa sijui Wema kosa lake nini?!. Kila mtu yuko alivyo umbwa na Mungu mbona ana mdomo mzuri tu? wewe je vile hatukujui lazima una kasoro fulani maana hakuna aliye perfect!

    Anon mmwingine ni kweli Wema angeonyesha mfano wa tabia nzuri maana anatuwakilisha lkn who knows yote tunayo sikia ni kweli? au kuna watu wana taka chafua sifa yake? na kama ni kweli si binadamu kama wote? mbona kuna wengi tu wantia aibu? kwa tabia (mawaziri, wabunge...n.k)na ni watu wazima iwe Wema ambaye bado young star?

    Anons kama mna guts basi kheri mmwone Wema na kwambia mnachofikiri uso kwa uso kuliko kuonyesha chuki hapa haisaidii.
    Mtapasuka bure kwa hasira mdada ana kula raha zake somewhere!

    Jamani mi simjui mtu hata huyo Wema mwenyewe, lkn sioni sababu ya kumpenda au kumchukia kiumbe wa Mungu via internet. Hayo ndoo mawazo yangu. Aurely

    ReplyDelete
  22. http://www.timesnews.co.ke/13feb07/spicy/spicy2.html

    After reading the above artical and the quotes from Miss Sepetu... Hmmm... I can see that the Miss Tanzania crown really is the ticket to becoming a successful and respected young woman in Tanzania... or is it.... She's a pretty girl but all of it ni ujinga tu. In other countries the title of Miss carries so much more dignity and responsibility. I mean we hear more reports about her private life and celebrity status than we do about the cause or charity she's supporting and what she plans to contribute to her country! No offense to Wema personally as I'm sure she would prefer people did not report on her private life!

    Maybe that's why we're not winning the Miss World crown, we're just too "local". Please girls, when you enter these contests think of the bigger picture...and Contest Trainers and Judges, please steer the future Miss Tanzania's towards being good role models for your sisters and daughters.

    ReplyDelete
  23. Sasa tumeelewa tatizo lako. Kwanini imechuykua muda mrefu hivyo kujibu tuhuma zako? Unatakiwa uweke wazi tuhuma haraka iwezekanavyo pindi zinapotokea. Hakukuwa na sababu ya wewe kukaa kimya muda wote ule ndo utoe maelezo ya picha zako zilizoonekana magazetini! Ndo maana pia tuna wasi wasi kuwa unaweza kuwa umefundishwa namna ya kujieleza kwa suala zima. OK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...