siku dokta remmy ongalla alipomrejea bwana kwa kubatizwa upya. hii ndo siku yake ya mwisho kuwa na rasta. siku hizi yeye ni mtu wa sala na nyimbo za injili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ni jambo la busara aliloamua kufanya DR.Remmy maana alishaona maisha yake yanakwenda kushoto!!Mungu azidi kumsimalia na kumtia nguvu katika maisha yake!!Amen!

    ReplyDelete
  2. "classic" pichakama hizi ndio zinazomfanya Michuzi awe Michuzi

    ReplyDelete
  3. Bwana Asifiwe!

    ReplyDelete
  4. Mungu akubariki, kwa uamuzi wako wa kuokoka, Amen

    ReplyDelete
  5. Mungu akubariki kwa uamuzi wako wakumfuata YESU Amen.

    ReplyDelete
  6. Sala za mkewe zimesaidia maana alimtesa sana yule maza wa kizungu..Lah...Ametua mzigo..He's at peace with his God..Good choice Remmy..

    Remmy nae alizidi kuimba nyimbo za KIFO KIFO KIFO..Sikuwa namuelewa..Nadhani alikuwa anakiogopa sana na alikuwa na maswali nacho, ila if you are t peace with your God...nutn matters in this world

    All the best Remmy baba...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...