wadau flani wameomba kumuona kwa karibu mmoja wa wacheza ngoma wa kundi la imena toka rwanda wakati wa sauti za busara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Haya mabinti ya hapo jirani huwa mazuri sana sana kwa shape na sura. Kama hili kwenye picha limetulia kweli kweli. Tatizo lao ni ngoma!. Ukigusa tu, hesabu siku zako Duniani!

    ReplyDelete
  2. Nimependa rangi ya huyu dada no those stupid mikorogo kama huyo uliyepiga nae picha Misoup.

    ReplyDelete
  3. Yanakuaga matamu haya madada ya kinyarwanda. Kama umewahi kupata dada wa kihaya sasa zidisha mara mbili hiyo shughuli ndio utamu wa dada wa kitutsi. Nadhani kutokana na hayo mahanjam, ndipo mtu anapoamua kuingia pekupeku na kulikwaa gonjwa.

    ReplyDelete
  4. We kenge ni kenge kweli wa mawazo ngoma ipo kila sehemu hata yule ndg yako mbona alikufa kwa ngoma,waafrika wote tuko kwenye vita vya ukimwi,kwa taarifa yako hao jamaa wamepiga hatua kwenye vita vya ukimwi kuliko hapa bongo...bongo ndo soo baada ya south e,botswana ni bongo,hehe,hao wana damu ya malkia wa sheba,ndo maana wazuri.nawazimika sana

    ReplyDelete
  5. wasifieni weeee, ila mkumbuke wanavyouwana wenyewe kwa wenyewe, utakuta huyu dada alishauwa familia yake yote kwa upanga..Ehee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...