
msanii didier awadi toka senegal akipozi na malkia wa taarabu na unyago bi. kidude baada ya shoo yake leo usiku kwenye sauti za busara. bi. kidude safari hii hakupanda jukwaani kwa amri ya daktari kwani hivi majuzi amefanyiwa operesheni ndogo ya 'hernia' hivyo hayuko fiti kufanya shoo. ila afya yake ni njema na anadunda kama kawa...
Didier Awadi, nakupata kila siku kwenye televisheni 3A TELESUD, satellite HOTBIRD.
ReplyDeleteMpe pole Bi Kidude kwa kuumwa. Namwombea apone haraka kusudi arudi jukwaani aendelee kutuburudisha na taarab.
ReplyDelete