kina nani hawa?

masharti ni yale yale...

1. lazima uwe ughaibuni

2. usitie ufundi katika kujibu

3. mstari mfu ni jumatatu saa sita usiku (za kibongo)

4. uamuzi wa majaji ni wa mwisho

5. zawadi ni picha yoyote atayotaja mshindi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wa mbele ni Sister P na nyuma yake ni Dattaz...Wasanii wa bongo flava

    ReplyDelete
  2. sister piiiiii

    ReplyDelete
  3. Wa mbele mwenye black T-shirt ni Sister P mkali wa kufokafoka (aliyeimba watu wanachonga sana juu yangu) na aliye nyuma yake ni Dataz (aliyeimba mume wa mtu) wanamuziki wa bongo flava.

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  5. mbele ni Sister P (wanachonga sana Juu yangu) na nyuma yake ni Dataz (Mume wa Mtu) dada yake Squezer

    ReplyDelete
  6. Hao ni Sista P wa mbele aliyenyonga nywele kama Da Brat na nyuma ni Dataz 'mke wa mtu LOL'.

    Ebwanae Michuzi hebu tuwekee picha za Zay B 'niko gado', tunataka kuona alivyo sasa hivi!

    ReplyDelete
  7. Mliosema wa mbele sister!!! mmekosea haiwezekani awe sister lazima atakuwa Brother huyo hamuoni hata sura na vigimbi

    ReplyDelete
  8. Huyo sister P yuko more like Brother P.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...