huyu ni miss singapore 2006 ambaye wema sepetu wetu alipambana nae na wote wakapigwa chini... tufanyeje bongo tushinde taji la dunia???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wenzenu wanaangalia na size, nyie mnaangalia tu uzuri akishakuwa mrefu basi hata kama ana kijitumbo fulani cha ugali wenzenu wanataka sexy abs kama hizo za huyo dada na little butt kama huyo dada. Wema sepetu ana hips za nguvu, ni mzuri lakini sio wa kwenda kushindania umiss. Mara mpeleke watu wana mianya. Mianya ni huko huko bongo. Wenzenu wakiwa na mianya wanaenda kwa dentist kuziba.Ndio maana huoni wazungu na mianya.

    ReplyDelete
  2. Sasa hii ni nini tena! Mwanamke hamna hata sehemu ya kushika! Nadhani ndo maana alitupwa nje. Hata kama ni English figure, angalau sehemu sehemu kwenye nyonga uwe na sehemu za kutosha kushikwa! Wema mwanya umemuua! Ulaya hakuna mianya ya hovyo hovyo kama vile!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...