wadau wa a taun mpoooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tupoooo... ila wapi hapooooo??

    ReplyDelete
  2. mji mzuri ila ujambawazi umekithiri, unahatarisha hata utalii ktk jiji hilo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2007

    Hapo Ngarenaro (ngaranaro), Hayo magorofa ya NHC, ukivuka barabara ni kambi ya fisi. Jumba jekundu la duara ni Kanisa la kwa Padri babu. Mpigaji atakuwa alikuwa angani juu ya tekniko (Arusha Technical College, TCA). Jina la barabara sikumbuki, ila inaenda kukutana na barabara ya kwenda minjingu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...