Home
Unlabelled
trafiki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu dereva leo hana hesabu kwa tajiri, labla kama ilikuwa asubuhi
ReplyDeletemisupu uko makini sana na kazi yako kwa kweli,kwa jinsi unavyo tuletea picha mbali mbali,kwa sisi tulio mbali na nyumbani tunafarijika,god bless u to spend ur time for this.
ReplyDeleteHakuna lolote hapo. Hawana haya hao polisi, wamekula kiapo cha kulitumikia taifa, lakini wanataka rushwa tu toka kwa madereva. Halafu ni kitendo cha kipumbavu kulizuia gari wakati mkosaji ni dereva. Bado polisi Tanzania ina safari ndefu sana kufikia ustaarabu, na common sense.
ReplyDeleteHawa jamaa hawana lolote kazi ni kuonea madereva, wanawakamata si wawapeleke panapohusika, kwa nini wanayamaliza njiani? hebu waige mfano nchi za wenzetu ambazo sheria za barabarani zinaheshimiwa kwa sababu watu wanalipa faini au kwenda jela kutumikia kosa walilofanya, hakuna uvunjaji wa sheria kama Bongo, hakuna mambo ya rushwa sasa wao wanaona makosa lakini wanachotaka ni kupewa rushwa tu. JK huku nako umeyaoona?
ReplyDeletePia hamna sababu ya kuwepo hapo wawili wote wakati makosa yanaendelea sehmu nyingine. Huyo POLICE mwingine angemwacha mwenzake ayamalize ili yeye ashughulikie issues zingine. Ila kwa sababu ya ulafi, basi wamekomaa wote hapo hapo na mapikipiki yao.
ReplyDelete