darasa langu tsj 1994-96 tukiwa na bahati iddi nzimano (buluu) dada wa tabora asiye na mikono siku alipotutembela na msaidizi wake (pili kulia waliosimama).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michuzi, sikujua kama ulikua 'mature entry'

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Tafadhali naomba contacts za huyo dada aliyechuchumaa wa kwanza kabisa kulia hapo amejishika kidevu.
    Natanguliza shukrani za dhati

    ReplyDelete
  3. mzee simkae kilonzo!!! libeqs tavern

    ReplyDelete
  4. Michuzi umenikumbusha mbali, huyo dada asiye na mikono namkumbuka pale gongoni Tabora miaka ya 90. ila mungu hamnyimi mtu kila kitu, huyo dada ana figure ya kike hasa. sijui yupo wapi sikuhizi....

    ReplyDelete
  5. MICHUZI TUNAOMBA PICHA NYINGINE ZA TSJ PLEASE!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. MICHUZI HUYO WA NYUMA MWENYE NGUO NYEKUNDU NI CARO AU????SI NAULIZA TU SA WE MICHUZI UNACHEKA NINI????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...