wabongo kwa ulabu! ka wamechanjia vile...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. waache wanywe wazidi kulala toka hapo bongo lala halafu wafadhili na wawekezaki na nje waje wawatawale daima na wao wabaki na ulabu na sigara kutahamaki watadata na mwishoye uchizi na kifo kiwakaribiye. Kila la kheri wazungu ndo wanavyokupendeni mfanye hivyo ili wakutekeni akili zetu toka hapo wasahakutekeni kila kitu tuna wakopi wao where is really the africa pride aaah..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...