enzi za uhai wake hayati wandiba, aliefariki kiasi cha miaka minne ilopita, alikuwa baunsa na bodigadi maarufu bongo. hapa ni baada ya kulamba tenda ya kumprotekti yvonne chakachaka mwanamuziki huyo toka sauzi alipozuru bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HAYA TENA WADAU WALE WATAKAOPENDA KUSIKIA MASWALI YETU KWA RAIS HAPA UKEREWE GONGENI HAPO CHINI

    JAMANI MMMH FIRST LADY NA RAIS WACHANGAMFU SANA UTADHANI UNAONGEA NA BLAZA WAKO VILE...

    http://www.defunkadelic.com/media_v/videoPlayer-PopUp.php?songtitle=TEST-187

    ReplyDelete
  2. hii clip bab kubwa na kiboko yao jakaya kikwete oyaa eeh..watajijuu wakimbizi wa u.k, basi wajeuri ndo wao na majivuno kibao sasa mtajiju pelekeni kivuli cha posteni yenu ubalozini mtagongewa msitiye shaka hodi hodi mtajiju sasa mnaona bongo tamau eeh mtakula jeuri yenu wazungu wanakujambisheni sana na mnaikumbuka bongo eeh, mtajijuu wakimbizi wakijitakia wa u.k, hongera sana baba kikwete umewapa shua na kuwaripua miyoo yao watakufa nacho kijiba charohoo na majigambo yao

    ReplyDelete
  3. michuzi kweli udongo huu unameza watu kwani umenikumbusha rafiki yangu tena pia alikuwa ni mtani wangu mungu amuweke mahari pema peponi wandiba ,na sijui mtoto wake masikini yuko wapi kwani alikuwa anampenda sana mwanae huyo wa kiume sijui yuko msoma, duh inauma sana keep it up michuzi

    ReplyDelete
  4. Yote TISA kumi ni camera man, jinsi alivyokuwa anajitahidi kuivuta LABEL ya msure aliyesimama karibu na BodyGuard wa JK. Na ile Label imeandikwa VISACCE. Nimecheka sana!!

    ReplyDelete
  5. Yaani hizi Kommenti za hapo juu hata sijui zimehusiana nin na Marehem rafiki yangu Wandiba.

    Enzi hizo huyu jamaa alikuwa mtu mmoja mkarimu sana. Tulikuwa tunaishi pamoja hapo Uzunguni Karibu na Holiday Hotel Jamhuri.

    Nakubuka vituko vyake na jinsi akina dada wa kutoka Ughaibuni walivyokuwa wanampapatikia. Mungu amweke mahala pema Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...