
waziri mkuu mh. lowasa alipotembela wanja letu jipya la neshno stedium lenye uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000 kama ule wa imarati. timu kama real madrid zimekubali kuja kuuzindua rasmi ifikapo julai. ila wametoa masharti kibao, ikiwa ni pamoja na kutaka hoteli ya nyota tano na kadhalika. lakini siku hizi bongo tuko fiti, hao watu 80 wataokuja ni saizi yetu kabisa.
wakati naenda mitamboni kuna mdau kanitumia ujumbe na kutoa rai kwamba wanja hili liitwe hayati oscar kambona kwani hakuna mahali jina la mwanasiasa huyo lilipowekwa kama kumbukumbu. nawasilisha hoja ya mdau huyo...


Mashallah,
ReplyDeleteLi uwanja hiloo
Waangalie tu simba na yanga wasijekuwa wanag'oa vitu kwa utani wao wa jadi
Ni hayo tu kaka
Big up kwa pichaa nzuri ya uwanja. Tunaomba utupigie sreen wanayosema imefungwa ili tuione pia kaka
Kweli tuna uwanja. Ingawaje ni mmoja tu mzuri, lakini inaleta faraja sana sana. JK boys wanaweza kututooa kwa uwanja huu. Big-up MKAPA
ReplyDeleteKweli tuna uwanja. Ingawaje ni mmoja tu mzuri, lakini inaleta faraja sana sana. JK boys wanaweza kututooa kwa uwanja huu. Big-up MKAPA
ReplyDeleteKweli tuna uwanja. Ingawaje ni mmoja tu mzuri, lakini inaleta faraja sana sana. JK boys wanaweza kututooa kwa uwanja huu. Big-up MKAPA
ReplyDeleteKweli tuna uwanja. Ingawaje ni mmoja tu mzuri, lakini inaleta faraja sana sana. JK boys wanaweza kututooa kwa uwanja huu. Big-up MKAPA
ReplyDeleteahahah eti uwanja uitwe Kambona, mnataka Nyerere afufuke leo hii nini ahahaha.....mie napendekezwa uitwe BYONA BUSHAI
ReplyDeleteMhhhh!!huitwe KAMBONA,na MKAPA ndiyo anapotakia sifa amefanya mambo,unacheza kweli wewe na ukifunguliwa na swaala la rada limeisha maana watz huwa wanadanganywa na pipi kaka watoto!!
ReplyDeleteUwanja mzuri sana, watanzania tujivunie. Mkapa hapa nampongeza pia. JK ana hazina kubwa sana kwa kuwa ameona mabaya na mazuri ya 3 previous presidents, so it is up to him to make things better. Wengine wote waliopita walikuwa katika experimental process, i.e Nyerere tried socialism to see how it would benefit his people, and Mkapa tried capitalism to see how it would benefit his people. Sasa JK ana advantage coz he can pick out the good from both and leave the bad. Kazi kwako JK, ukishindwa wewe then u'd be the biggest failure coz una hazina kubwa.
ReplyDeleteWaswasi wangu ni utendaji wa jumla katika kuhakikisha uendelevu wa huo uwanja.
ReplyDeleteni kweli kabisa uitwe kambona.
ReplyDeletemaana huyu jamaa ametupwa hadi watoto wa shule siku hizi hawamjui.
yule alisaidia sana mapinduzi.
maoni yangu upewe jina la OSCAR KAMBONA.
Napendekeza majina mawili.
ReplyDelete1. 'Chang'ombe National Stadium' (uwanja wa Taifa wa Chang'ombe)
maana uko chang'ombe!
2. Dar es Salaam National Stadium
3. 'Benjamin Mkapa National Stadium'
Nimependekeza majina matatu;
ReplyDeleteChang'ombe,
Dar es Salaam, na
Benjamini Mkapa.
Kwa taratibu za kuingia kwenye 'site ya ujenzi' W/Mkuu alitakiwa kuvaa protective gear mfano kofia ngumu, buti n.k. Structure hiyo wasio 'salama' hadi itapokabidhiwa rasmi kwa wahusika wenye uwanja!
ReplyDeleteUnajua Michuzi huwa nakuona una akili sana kumbe kichwa kimejaa mapovu tu. We real Madrid unasema saizi yenu kweli. Umeshapiga hesabu hao watu 80 watagharimu mamilioni mangapi? Sawa mtajidai eti wafadhili lakini hao wafadhili si ndio hao watafanya hivyo ili waweze kusamehewa kodi? Wakati shule hazina vifaa, sehemu nyingine za nchi zimekuwa visiwa kwa kukosa barabara , nyie mnafikiria kupoteza mapesa kwa Real Madrid. Shenzi taipu kabisa kwa wote wanaohusika.
ReplyDeleteAmeingiaje site bila helmet?
ReplyDeleteUwanja poa lakini sifa nyingine ZInAWAUA. Watoto na wanawake zetu pamoja na wazee NAKUFA kama.....mamae!
ReplyDeleteThis is TAIFA National stadium, wacheni ushamba na kuabudu kuabudu kwenu bila mpango!
ReplyDeletehaya madrid hao watu wanakufa na njaa, acheni upuuzi hakuna haja ya hao watu masharti mangumu sana
ReplyDeleteUwanja ubaki na jina lilelile, Uwanja wa Taifa/National Stadium
ReplyDeletePamoja na kupenda saanaa football, mimi naona hawa Real Madrid wala wasialikwe. They are the richest club in the world probably richer than the government of Tanzania and why would they want an all expense paid trip to be carried by an impoverished African country like us?! Bwana eh, afadhali hizo pesa ziweze kuorganize a mini tournament zitakazohusisha klabu bingwa zote za mikoa, bara na visiwani. Au a tournament zinazo shirikisha timu za SADC au za southern afrika ambazo hatuzioni sana(ok, Textile de Pungue alikuja kufanya vitu vyake na Petro Athletico wanakuja kufungwa na Yanga soon!)Muda mrefu sasa hakuna mashindano ya klabu bingwa za mikoa maybe now is the right time to do so instead of kuingia ligharama likubwa kwa hawa Real Madrid!
My two cents....
Ni kweli uwanja mzuri sana, na pia nataraji kuwa wale washabiki wenye makao yao makuu karibu na bonde moja hapa Dar, watakuwa wastaarabu na kuacha ujinga wao wa kurusha chupa zenye mikojo ingawaje huwa wanasema tabia nio sawa na desturi....... haya ni jukumuletu wote Watanzania, sio kujivuna tu, bali pia kuutunza.... manake duh ukiwa hewani uwanja unauona unapendeza kwa hakika.
ReplyDeleteJina la uwanja liwe:
ReplyDeleteMZIZIMA STADIUM
Nimepiyaga chini majina mengine yaliyopendekezwa kwa sababu;
1) Chang'ombe siyo rahisi kulitamka kifasaha kama wewe si Mswahili
2) DSM Stadium inamaanisha hatutegenei kujenga wanja lingine kama hili Dar
3) BWM Stadium - Ni kweli kabisa BWM anastahili pongezi zote kwa kufanya kitu kilichowashinda wenzake kwa miaka 40, lakini tumuenzi kwa namna nyingine. Tujaribu walau mara moja kutotumia majina ya watu
We anoni unayeuliza PM kaingiaje site bila kofia, huoni yeye alipewa nyeupe?
ReplyDeleteYaani we anoni hapo juu 5:19:00 ni zero kabisa. Umenikumbusha kikaragosi cha ziro kwani argument yako ni sawa sawa kabisa na ziro
ReplyDelete