jaji joseph sinde warioba amekuwa hachoki kutukumbusha maadili na kupigania haki hata baada ya kustaafu uwaziri mkuu. hapa anazindua kitabu 'maadili ya taifa na hatma ya tz'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hongera sana JSW kwa kuongoza kwa mfano.

    ReplyDelete
  2. huyu jamaa aongei kisiasa siasa anaongea ki-intellectual,juzi alionya kuwa fast tracking ya east african federation siyo sahihi kwa vile wananchi hawaelimishwa ipaswavyo.hata hivyo waliokuwa na dhamana ya kuongoza nchi wameamua kuendeleza saga hilo!

    ReplyDelete
  3. Kajiuzulu u-Waziri Mkuu kwa sababau awmu hiyo ilijaa rushwa na ufisadi!

    ReplyDelete
  4. naona anazindua kitabu cha rafiki wake mkubwa na mjumbe wa tume yake ya rushwa,kweli wameamua kusema ukweli,kitabu cha ibrahim kaduma.hawa wazeewachache tz kwa kupiga rushwa

    ReplyDelete
  5. HUYU, MZEE POA SANA, MUNGU AMBARIKI, NI KWELI ALIJIUZULU KWA KUWA HAPENDI MAMBO YA RUSHWA, NA ILIPOUNDWA ILE TUME YA WARIOBA, WALIUMBUKA WENGI SANA WOTE WAKUBWA, IKABIDI IZIMWE KIMYA KIMYA,
    LAKINI MASIKINI BABA WA WATU HAKUFANIKIWA KWA WATOTO HASA BINTI YAKE HUYU, JUNE WARIOBA, ANAMWAIBISHA SANA HAPA MJINI.

    ReplyDelete
  6. Haba lolote huyu mnafiki tu kama walivyo wanasiasa wengi wa kiafrika. Kama kweli anapinga rushwa mbona ana mkono kwenye kampuni ya Mwananchi gold amabayo imechota mapesa ya walipa kodi kutoka BOT? Yeye akishirikia na rafiki yake mwizi mwingine Mahalu na mkewe na Mahalu wamejipatia mapesa hayo kinyume cha utaratibu, ati leo anakuja hapa na kujidai anapinga rushwa.

    ReplyDelete
  7. WEWE ANONY HAPO JUU HUJUI UNAONGEA NINI, MOLA AKUSAMEHE NA MDOMO WAKO MCHAFU.
    KATI YA WANASIASA WOTE AMBAYE YUKO CLEAN, NI HUYU WARIOBA. KAMA UNAKITU PERSONAL USEME TU HAPA. ACHA KILOMOLOMO.
    UKITAKA KUONGEA KUHUSU WANAFIKI WAONGELEE KINA RUPIA, PAUL RUPIA ALIPOKUWA SERIKALINI NDIO ALIKUWA MNAFIKI, MKE WAKE NDIO ALIYMSHAWISHI, OTHERWISE YEYE MWENYEWE PAUL RUPIA NI POA. ILA MKEWE TU NDIO MSEMAJI WA MASHARTI.

    ReplyDelete
  8. truth be told, ndio maana hawana heshima hawa kina rupia, ona wengine waliokuwaga serikalini, kama huyu warioba, familia ya nyerere, familia ya kahama na kadhalika, wanaposafiri mpaka sasa wanapewa heshima ya kupitia v.i.p lounge kwenye airport yetu hii ya julius nyerere international airport.
    hao wengine holaaaaa. waishie tu kufanya biashara za kuingiza pesa kwenye familia, ambazo mtoto wao ndio anatambia kuhonga wanawake hata kuwajengea manyumba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...