hayati patrick balisidya atakumbukwa daima kwa ustadi wake wa kutunga, kuimba na kupiga mpini enzi hizo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kumbe huyu mzee amekufa, sikuwa najua. Alikufa lini? R.I.P

    ReplyDelete
  2. Hata mimi sikuwa najua....Michuzi unapoandika habari za hao jamaa,tafadhali tujulishe wamefariki lini.Tanzania imepoteza mmoja wa wanamuziki wake wachache wenye sauti tamu.Ukiacha Bitchuka na Dede....sioni mwingine.

    ReplyDelete
  3. Eeh bana eeh hivi ukiweka listi ya walikwisha tutoka si unaweza kuwa na bendi tatu za mastaa!!!! Michu hebu kusanya na utufungashie fursushi moja la habari za wote na tarehe zao walizofariki. Labda vile vile watu wanaweza kutoa harambee ya kumbukumbu..... AKd

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...