aboubakary liongo wa idhaa ya kiswahili redio ya ujeremani akihojiana na mama kutoka kenya kwenye karnivali jijini cologne majuzi. huyu bwana anatisha katika utangazaji na anatufanya wabongo tujidai kwamba tuna vifaa kama hivi vinavyotesa ughaibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hapo taabu itaanza huyo Mama akibadilisha chaneli na aseme kiinglishi kidogo tu, Abuu atatoka baruti, ndiyo umahiri wa huyo mtangazaji wetu wa lugha moja, la hiyo taalumua nayo, ina vituko acha tu...

    ReplyDelete
  2. Issa Michuzi ninavyojua mimi huyo mama hatokei Kenya, ni Mtanzania. Ni kati ya wale mama zetu wa kitanzania wanaotuwakilisha Umoja wa Mataifa(UN) kule Mashariki ya kati. Na hapo jijini Cologne ni kati ya zile safari zake za kikazi.

    ReplyDelete
  3. mtoa maoni wa kwanza ameniumiza kwa kum-beza abou kuhusu kingereza. unajuaje kama hajui kingereza? na je unafaham kwamba kingereza ni lugha tu kama kingoni na kujua ama kutojua sio ishu? wajapan, wachina na wafaransa hata rais wao ana mkalimani! sio ishu kingereza, acha utumwa na dharau, nyie ndio mnaodharau bibi zenu vijini kwa vile mnajua kingereza, akhhhhhh!

    ReplyDelete
  4. kamua abou liongo. tena kandamiza kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...