mdau aboubakar liongo ambaye ni mtangazaji mmbongo redio deutche welle akiwa na masela kwenye karnivali jijini cologne majuzi. nasikia siku hizi mshikaji kijeremani kinapanda ile mbaya kwa hiyo aaaahh....anapasua anga tu. hongera shekhe!


wikiendi hii msisahau kuburudika na za kale kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Najua unasubiri kwa hamu mpambano wa L/pool v. man U. ndo maana hauonekani leo j'mos kabla ya saa 9.45 za TZ!!!!!!! Acha wasi wasi tutawafunga goli chache tu wala si nyingi!!!! sijui jioni utakuwa na nguvu za kublogu baada ya kipigo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...