YANGA LEO WAMEITUNGUA PETROL ATLETICO YA ANGOLA 3-0 NA MPIRA UMEISHA SASA HIVI...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Waaah waaa Yanga. Naona mazoezi ya baadhi ya wachezaji huko Brazil na ujio wa Micho imekuwa chachu ya ushindi. Sasa msibweteke basi mkaaona ndio mmemaliza. Mnatakiwa mkienda kwao mkaitungue huko huko vile vile inaitwa "Jogoo kuchinjiwa bandani mwake". KIla la kheri Yanga na Tanzania kwa ujumla.

    ReplyDelete
  2. Hureeeeeeeeeeeeeeeeeee YANGA sasa msibweteke jiandaeni mapema kwa mechi ijayo.

    ReplyDelete
  3. Samahani Michu,
    Maggid! Tulia, nilikwambia utakufa na kijiba mwaka huu. Dua zako zote za YANGA kupoteza mchezo hora.
    Hiyo ni moja ya mafanikio makubwa ambayo klabu ya YANGA inayaendea.
    Bado na utaumia sana.

    ReplyDelete
  4. Hongera chama langu yanga african hakika hayo ni matunda ya kuwekeza katika timu Hongera ndugu Manji kwani Bila wewe yanga nina hakika isingefika hapa ilipo kazi kwenu kina mzimba na wenzako dumisheni hali iliyopo yanga kwa sasa ili baadae TZ iwe tishio kwa ukanda huu wa africa
    Hongera JK kwa juhudi zako za kukuza soka kwani matunda yanaonekana
    Mungu Ibariki Tanzania
    Mungu Ibariki Yanga african

    ReplyDelete
  5. Yanga Brazil oyeeeeeeeeeeeeeee, Micho bado hatujaona mavituz yako.

    ReplyDelete
  6. Naomba niwe editor wa menu: Kifungua kinywa = Breakfast.

    ReplyDelete
  7. Hiyo ni habari kubwa sana kwasisi mashabiki wa Yanga na wale wasio mashabaiki. Tunawatakia kila la kheri mechi ya marudiano.

    ReplyDelete
  8. Sio mchezo, chama langu la mtaa wa jangwani na twiga limenifurahisha sana kwa kuweza kutoa dose kwa petro atletico; lazima tutahikishe tunashinda mechi ijayo tuweze kusonga mbele. Nawasikitikia watani wa jadi wa msimbazi wanashikana ugoni mpaka sasa kuhusu mapato ya mechi kati yao na textile de pengue na lazima tuwatie njaa kwenye ligi msimu huu

    ReplyDelete
  9. mi nime mind hiyo picha ni wapi hapo kwenye lunch na muziki wa zamani?

    ReplyDelete
  10. HONGERA SANA YANGA AFRIKA!
    Ushindi wenu ni changamoto kubwa kwetu wa Msimbazi! Kila La Heri!
    /maggid

    ReplyDelete
  11. mimi ni yanga asili kwa kweli nilikuwepo uwanjani hawa jamaa si wakujivunia kuwa tumeshinda kwani hawa sio kama wale waangola waliocheza na simba kombe la caf akina lidenge hawa mpira hawajui hata kidogo hata wachezaji wetu wangeendelea na mazoezi kule brazil tungewafunga tuu hawa walitakiwa wacheze na kagera rangers na si yanga tusibweteke na ushindi tujiandae na upinzani mkali

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  13. Wauh,hongeren sana kina Abdi Kassim,Ivo mapunda na wengineo.Haya ndo matunda ya zoezi la brazil.

    ReplyDelete
  14. mjengwa sasa sijui utasemaje?mwaka huu ni wetu!

    ReplyDelete
  15. tanx 4 da breaking news.we were dying for the results to come thru ur blog.big up jangwani boys keepitup
    "YANGA FAN,CA-USA

    ReplyDelete
  16. Hongera nyingi mno wana Yanga.Hii inadhihirisha ukweli kwamba tukipata fulsa nzuri kama hizi za mafunzo basi kutakuwa na matumaini ya kufanya vizuri kwa timu zetu siku zijazo.
    Mungu ibariki Afrika!
    Mungu ibariki Tanzania!

    ReplyDelete
  17. Kobelo,
    Mwezi huu wote hatutalala kwa kelele zenu Yanga! Sasa mkipangiwa timu za Misri au West Africa msiogope kuja Msimbazi kutuomba ushauri, maana uzoefu huo tunao.Hongera tena Yanga!

    ReplyDelete
  18. Sub alizofanya Micho zilikwenda shule.

    www.yangatz.blogspot.com

    ReplyDelete
  19. cc pan africa tunawasubili kwa hamu. hatujenda brasil wala wapi lkn chamoto tuwaonyesha ktk ligi ya makundi.

    ReplyDelete
  20. Naandika kwa masikitiko KUHUSU JUKWAA LA SIMBA ,naomba wajue kuwa sasa YANGA anawakilisha taifa letu la tanzania,uyanga na usimba ni unazi wetu wa nyumbani.
    Kuweni watu wazima na mjue kuwa ushindi wa yanga ni wa watanzania wote - NA RECORDS ZA KIWANGO CHA SOKA LA TANZANIA kinaongezwa na ushindi kama huo. NATUMAINI MECHI IJAYO MTAKUWA WAUNGWANA NA KUELEWA MAANA YA UWAKILISHI WA TAIFA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...