katika harakati za kunifariji baada ya kukwama dumila eapoti kwa kukosa usafiri kuna mdau kanitumia hizi. na latesti za eapoti za dumila bofya hapa
Home
Unlabelled
faraja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
LOL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Find X ahahahahaa aiseee,ukijibu hivyo bongo ni mswaki str8 up!
ReplyDeleteMtaka Haki ninataka utundike stori yangu kuhusu the "rule of law" Tanzania in the light of Dito's case!
ReplyDeletex=5
ReplyDeleteKama sijakosea formula yake ni 1/2*Height*Base
ReplyDeleteKwa hiyo: 1/2*3*4=x
Cross multiply:1*3*2=x
Therefore: x = 6cm
michuzi umenikumbusha mbali sana cousin wangu mmoja alikuwa hapendi hesabu kabisa akawa anasema watu wanasoma hesabu kwanini eti unaambiwa find x while x is alredy there....simple!!!!!
ReplyDeleteMliakuvana umekosea hapo juu, wewe umetafuta Eneo badala ya urefu wa 'x'
ReplyDeleteTumia Pythagoras Theorem;
let x = c
a.a + b.b = c.c
(a" + b" = c", where "=2)
3*3 + 4*4 = c*c
9 + 16 = 25 = c", (where "=2)
5=c
therefore c=x=5
nimesahau vipimo;
ReplyDeletea*a + b*b =c*c
let x=c
3*3 + 4*4 = c2, (c power 2)
9 + 16 = 25 = c2
5 = c
Therefore, x = 5cm
Mliakuvana kumbe na wewe ni zero kwenye namba!!! Mbona hiyo ni kanuni ya kutafuta eneo la pembe tatu. Kanuni sahihi ya kukokotoa hesabu hiyo ni ile iliyotolewa na Anonymous was 3/13/07 9:10:00 AM
ReplyDeletemh hesabu, mimi nilikimbia umande kwa somo hilo, yani hapo ni chui na paka, so ukinipa ni solve hesabu sa hivi ni bora uninyime huo ugali basi nilale njaa kuliko kufanya hesabu,
ReplyDeletemdau mmoja hapo juu kasema cousin wake alimwambia kwanini atafute x wakati x tayari iko hapo, nafikiri ni kweli, kuumizana vichwa tu,
hivi michuzi unajua maths wewe?? akisema u solve hiyo hesabu ndo utakwaa pipa, hakyamungu utaozea huko, au ndo mana unatafuta majibu kwa wadau nini, lol, hahaaaaaaa just kidding, utafika home tu usijali
Jamani msimcheke huyo. Hesabu ni tatizo la kitaifa Bongo. Ni wachache sana tunaozikung'uta kisawasawa
ReplyDeleteMliojifanya kukokotoa hapo juu WOTE mmekariri. Siyo lazima sides za triangle ziwe a, b na c. Kwa hiyo siyo lazima x iwe c (why let x=c?). Tumieni vichwa zaidi, tumieni mlichopewa badala ya ku fabricate 'mlichokaririshwa' mashuleni kwenu!Napenda huyo aliyeandika jibu peke yake, anajua alichofanya!
ReplyDeleteAla, kumbe nimetafuta eneo! Hesabu was not rechabo - nina "D" Form IV na "F" ya BAM Form VI......
ReplyDeleteSi nikajiona ninaweza kukumbuka kafomyula kumbe buluu! Nakumbuka mwalimu wangu mmoja alikuwa anasisitiza sana kusoma swali na kulielewa na sio kukurupuka na vifomyula nilivyo kramu - sasa ona hapa matokeo 25 years later!!!
Say what??? Mzozaji, are these numbers correct? If they are, then, damn!!!
ReplyDeleteHalafu when the previous waziri wa elimu alivyotaka kurekebisha hili watu tulimjia juu! Sasa naona kumbe anaweza kuwa alisema kweli - muda mwingi wa masomo unatumika kufundishia masomo mengi mengine na kupunguza muda wa kujifunza hesabu (na kizungu)
Mmmhhhh.....was he right??? I think so he was.