Home
Unlabelled
gari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahaha waswahili tunachekesha sana. lakini taratibu tutafika hamna noma.
ReplyDeletemmh kumbe juma nature mambo yake si mchezo,hongera nature
ReplyDeletemjomba michu...midole hiyo naona herufi hazishikiki, ta tua ndio nini? la tua ndio ueleweke!
ReplyDeletegari hata karandinga liko poa huyu nature sasa kumbe hana viwango kabisa itakuwa anafagilia vitu vibaya, SM wanadhamini lakini angalia gari alochagua bora angeendesha ile pantoni yake
ReplyDeleteJamani hivi waliomba msaada wa watu kuwachagulia jina la kundi lao? Nchi hizi tunazoishi kuna website ukitaka kuanzisha biashara au hata kama una mbwa, paka unatafuta idea ya jina. Unaweka picha au melekezo yako ya hicho kitu halafu unawapa watu majina uliyonayo kichwani au unataka jina liendane na kitu fulani. Kweli watu wanakuja na majina mengi very creative.
ReplyDeleteAfadhali jina lao wangeita WANAUME ASILIA AU something else. WANAUME HALISI...!!!! Najua ina maana The Real Men lakini tukibadilisha maneno ya kiingereza na kuweka kiswahili hata hai cook. Jina linakua jina tu lakini halina ladha na ni rahisi kusauliwa...nk.
Tunaishi ulimwengu wa mashindano na anything in this world now ukitaka kufanikiwa zaidi au passive income (work less earn more) is how you sell yourself and how you sell yourself first starts with how you advertise yourself with a cachy names, color etc.
Hapo ndio unawish huku drop lile darasa la marketing ....naming/branding a business is a big deal man.
I wish them all the best but it is not too late to come up with a good, nice, easy to remember name.
Naomba kuwakilisha
Hii ndinga ina A/C (ya kutosha)kweli? Nasikia shoo ilikuwa bomba kinoma, kubwa juu (big up) washkaji
ReplyDeletewanapromote masigara tuu mbuzi hawa,hawajui sigara inaleta kansa shenzi taip kabisa
ReplyDelete