usilogwe kutia mguu dumila ama mji wowote wa imarati na uarabuni siku ya ijumaa. utaula was chuya, kila mtu anapumzika na maduka yote yanafungwa. kwao ijumaa ni jumapili tunayoijua sie. ndo mana jana nikaogopa kuwaboa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. E bwana weee... "Tafuteni riziki zenu, kazi zenu siku sita, ya saba ni ya kumshukuru mw'Mungu!" Subhanna wa Taalla! ...kama Wa Sabato Jumamosi, na wakatoliki Jumapili! Kila mtu na Imani yake au sio?!. Watabahu.

    ReplyDelete
  2. Sawa lakini ipo aliyosema Mungu kwamba upumzike! Ichunguze ni ipi kati ya zote hizo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...