Home
Unlabelled
jordan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani hili gari si mchezo ni balaa maana hapo jordan kawapiga bao wote hadi shaq ukipiga hesabu za haraka kwa hela ya kitanzania hilo gari lina thamani ya shilingi za kitanzania milioni 807,300,000/=(Milioni mia nane) halafu anafuatia shaq asikwambie mtu ulaya ulaya tu hapo ni basketball bado hujaingiza vyanzo vingine vya mapato kama vile commercials wanazofanya huko duh si mchezo hebu fikiria gari lina thamani hiyo je nyumba hiyo si kufuru tupu chako chako tu siku zote
ReplyDeleteIT IS NOT FAIR! Fuck them, yaani gari la dola laki sita na nusu!
ReplyDeleteWenzao hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hatuna!
Kweli Anon wa pili,its not fair!sio wasinunue,lakini watoe hata kidogo kwa maskini wa asili yao Africa,hata mtoto mmoja tu aweze pata uhakika wa mlo!inawezekana ndio sababu hawafanikiwi kujenga familia bora
ReplyDeletewe nani anakwambia hawafanikiwi kujenga familia bora? bongo unaona kuna familia bora? au ni ujinga na uvumilivu wa wanawake wasiojua haki zao ukichangia na umaskini ndo basi hakuna familia bora bongo kua ujionee pumbafu wewe
ReplyDelete