Home
Unlabelled
kihindihindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bwa michuzi kama hapo ni jumbo electronics basi lazima bei ikuumize kichwa. As Sony authorized dealer nategemea wawe wana upgrade vitu every three month ili kuweka vitu vipya. Wabongo hatujali model mpya, nadhani unaweza ukapata vitu bei rahisi maduka mengine. Well bado vitu vyao ni cheap kulinganisha na USA(eg.BestBuy), mimi huwa nawsailiana nao nkihitaji electronics kwa ajili ya home.
ReplyDeleteMichuzi waarabu mbona hawana good customer service, wauzaji watatu hakuna hata mmoja aneyekupa attention(au wamekuona sio mnunuaji)?
ReplyDeletepole kakangu
ReplyDeletekuwa makini usianguke
ndo life, ila nasikia huko bei sawasawa na bure kaka, sasa iweje uhisi hivyo?
Mimi ninampango wa kuzuka huko karibuni, nistue basi kama kihindihindi nisije hisi kiharabu baada ya kufika huko.
kazi njema, na tarii kwa amani
Mbwegelembegele,naomba contact ya hayo maduka ambayo huwa unaagiza vifaa vya bei nzuri huko Dubai.
ReplyDeleteKaka yangu ukirudi bongo cha kwanza basi piga gym kidogo. Sijui umekila vinono sana huko. Hapo hii picha na ile ya kanzu mh! Naona kitambi kinaanza kukukimbilia. Watch out kwasababu leo kg moja kesho moja before you know una kg 10 extra.
ReplyDelete