miss kinondoni nimo abdillahi adam a.k.a nadia mohamed. mrembo huyu baada ya kushinda miss kinondoni mwaka jana alikataliwa na wazazi wake kuendelea na mambo ya u-miss. wadau wengi wanahisi endapo kama angeshiriki fainali za taifa angeukwaa umiss tz bila matatizo. na hii ni katika muendelezo wa wilaya ya kinondoni kutwaa mataji mengi tokea hoyce temu, nancy sumary na wema sepetu. sijui mwaka huu itakuwaje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. jamani wewe mtoto wa Abdillai shekhe nduruma umetoka lini?nakumbuka nimesoma na wewe madrasa baba yako alikua mkali kama mbogo tukija kwenu mpaka sasa hajabadilika tuuuuuu,ila kwanini umeamua kubadili jila nakujiita nadiya nawewe ni Nimo A bdillah,
    saraha dada yalo yuko wapi siku hiziiiii,miaka 15 mingi inabadilisha watu kabisa,siamini majicho yangu

    ReplyDelete
  2. wajanja wengi wa mjini wako kinondoni, machangu kinondoni unategemea nini?

    ReplyDelete
  3. Haaa! Hapo ndipo ambapo huwa naikubali bongo, mtoto huyo ni mzuri haswa! sijaona mtoto kama huyo huku ughaibuni. Anyway, labda baba ake alikuwa na makusudi maalum ya kumkataza asiendelee kushiriki hayo mambo ya umiss.Maana wazazi ndio wanatufahamu vizuri zaidi tulivyo kwa hiyo mara nyingi hawapendi kuona wanao tunapoteza talents ambazo zinatufanya tufanikiwe zaidi ktk maisha. "Na-dear" msikilize baba ako anataka wewe ufanikiwe ktk talent ipi uliyozawadiwa na Mungu katika Maisha yako.

    ReplyDelete
  4. Hoyce alikuwa miss ilala kama nakumbuka vizuri

    ReplyDelete
  5. huyu binti ni mkali si mchezo na kama wazazi wake wangemruhusu angefika mbali sana kuliko kile kimachepele kinachopenda masuper star na kina iharibia jina ile kamati ya miss tz

    ReplyDelete
  6. Ila she's too skinny, uongo mbaya

    ReplyDelete
  7. baunsa vile

    ReplyDelete
  8. Whaaaat? No ass, no mguu wa chupa ya bia? Nothing to hold on to? And you say thats preety? She's aaight but not all that!! She looks good to those men who prefer rod-thin women

    Toto la kiTZ lazima liwe na somethings to hold on tight to, yaani nyama fulani fulani at sehemu fulani fulani - me, I prefer my african women stacked (read: NOT FAT, thank-you-very-much!!)with some ass and legs to die for Hey, I happen to be an ass and leg man!

    ReplyDelete
  9. Lazima tujivunie jinsi tulivyoumaliza ubaguzi wa rangi !Huyu dada msomali na kuna baadhi ya nchi duniani asingeshinda chochote katika nchi hizo kwa sababu hana asili yake hizo hata kama angekuwa mzuri kama malaika

    ReplyDelete
  10. Mtoto huyo sijui wazazi wanataka awe imamu? Dini ya kiislamu haina maimamu wanawake.Sasa wanataka awe nani katika uislamu wakati vyeo misikitini ni vya wanaume tu.

    Si wamwache tu.Mbona Asha Madinda wa bendi ya Twanga pepeta anatwanga na kupepeta na Ramadhani anafunga na msikitini anaenda.

    ReplyDelete
  11. alishinda ki halali aaaah gari hii alipewa na Giraffe Ocean View Hotel moja kati ya hotel mpya za Dar inawika sana, Hongera Nadya

    ReplyDelete
  12. Anony wa 1:02:00 pm acha chuki zako za kipumbavu dhidi ya imani za watu wengine.Nenda wewe ukagombee au peleka dada zako au binti zako wakaonyeshe matako na maziwa Diamond Jubilee.

    Wazazi wa kiislamu wataulizwa siku ya kiyama namna walivyowalea na kuwakuza watoto wao hapa duniani.Pia ujue uislamu sio jina au urithi kama dini zingine;uislamu ni imani.Unaweza kuitwa Muhammad,Ali,Amina au Miraj ila kama hauna matendo ya kiislamu unakuwa kafri tu,hivyo si vema kulinganisha waislamu na watu "wenye majina ya kiislamu".

    Uislamu si dini ya msimu (wa Ramadhan au kuswali tu) na ndio maana Nimo alivyopotoka wazazi wake wakamrudisha ktk mstari.Kama dini yako inaruhusu hayo mambo,ok,endelea nayo ila waachie waislamu uislamu wao;hii sio dini ambayo waumini wanaweza kukutana na kuamua "kubadilisha" au "kurekebisha" imani kama zilivyo baadhi ya dini.Pilipili usioila yakuwashiani? Ukome!

    ReplyDelete
  13. Anony wa 1:02:00 pm acha chuki zako za kipumbavu dhidi ya imani za watu wengine.Nenda wewe ukagombee au peleka dada zako au binti zako wakaonyeshe matako na maziwa Diamond Jubilee.

    Wazazi wa kiislamu wataulizwa siku ya kiyama namna walivyowalea na kuwakuza watoto wao hapa duniani.Pia ujue uislamu sio jina au urithi kama dini zingine;uislamu ni imani.Unaweza kuitwa Muhammad,Ali,Amina au Miraj ila kama hauna matendo ya kiislamu unakuwa kafri tu,hivyo si vema kulinganisha waislamu na watu "wenye majina ya kiislamu".

    Uislamu si dini ya msimu (wa Ramadhan au kuswali tu) na ndio maana Nimo alivyopotoka wazazi wake wakamrudisha ktk mstari.Kama dini yako inaruhusu hayo mambo,ok,endelea nayo ila waachie waislamu uislamu wao;hii sio dini ambayo waumini wanaweza kukutana na kuamua "kubadilisha" au "kurekebisha" imani kama zilivyo baadhi ya dini.Pilipili usioila yakuwashiani? Ukome!

    ReplyDelete
  14. Anony wa 1:02:00 pm acha chuki zako za kipumbavu dhidi ya imani za watu wengine.Nenda wewe ukagombee au peleka dada zako au binti zako wakaonyeshe matako na maziwa Diamond Jubilee.

    Wazazi wa kiislamu wataulizwa siku ya kiyama namna walivyowalea na kuwakuza watoto wao hapa duniani.Pia ujue uislamu sio jina au urithi kama dini zingine;uislamu ni imani.Unaweza kuitwa Muhammad,Ali,Amina au Miraj ila kama hauna matendo ya kiislamu unakuwa kafri tu,hivyo si vema kulinganisha waislamu na watu "wenye majina ya kiislamu".

    Uislamu si dini ya msimu (wa Ramadhan au kuswali tu) na ndio maana Nimo alivyopotoka wazazi wake wakamrudisha ktk mstari.Kama dini yako inaruhusu hayo mambo,ok,endelea nayo ila waachie waislamu uislamu wao;hii sio dini ambayo waumini wanaweza kukutana na kuamua "kubadilisha" au "kurekebisha" imani kama zilivyo baadhi ya dini.Pilipili usioila yakuwashiani? Ukome!

    ReplyDelete
  15. HIVI KUWA MREFU NA MWEMBAMBA NDIO UZURI. NAOMBA MNIELEZE. MIMI SIONI CHA ZAIDI HAPA.

    HATA WALE WASICHANA WASIO NA UWEZO WAKIUCHUMI UKIWAOGESHA NA KUPAKA MAFUTA WATAMPITA HUYU.

    SIKUWA KWENYE HAYO MASHINDANO KWA HIYO LABDA ANA AKILI

    Hivi michuzi yule msichana ulituonyesha yupo airport anakwenda kwenye mashindano mahali fulani. Kaishia wapi na hayo mashindano. Mbona hujatupauptodate.
    Nayeye aliingia top 20 manake nasikia ndio za mamiss wetu wakienda kwenye mashindano ya kimataifa wakirudi. oh nilifika top 20.

    ReplyDelete
  16. Hawa wazazi wa binti nawapongeza walimwacha aende duniani bila kumkanya ili apate nafasi kwanza achume gari kisha baada ya kuchuma wakasema sasa acha urudi uwe mtu wa dini baada ya kuchuma gari kutoka kwenye ukafiri.

    Tuna mifano ya watu wengi tu ambao wakiwa maskini huwa hawana dini wakishachuma ndio utawaona wana mitandio mingi,kanzu nyingi misalaba mingi n.k na kujifanya watu wa dini sana baada ya kufanya maasi mengi ya kupora mali za umma na kudhulumu wanaume,wanawake n.k mpaka wakapata magonjwa sugu.

    Ni vizuri wangemzuia kabla ya kuingia kama hawapendi mali za dunia.Wasingengoja mpaka gari iingie ndio wapige kelele za faulo!

    Lakini ngoja nimeshtuka!
    Hivi wanamzuiaje mtu ambaye umri wake ni zaidi ya miaka 18.Kisheria ana uhuru wa kuamini atakacho.Ina maana demokrasia kwa hawa wazazi haipo? Je huyo binti hana uhuru wa kuabudu atakacho ikiwemo kuabudu ukafiri kama anapenda katika umri huo?

    Mimi naona hawa wazazi ni wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu na inabidi washitakiwe kwa kuingilia uhuru wa kuamini atakacho huyo binti katika umri huo.

    ReplyDelete
  17. Kama alikataliwa kushiriki ktk miss TZ,hilo gari alilirudisha?
    Na kama alilirudisha alipewa mshindi wa pili?
    Naombeni majibu kwa mnaofahamu hii issue. ahsanteni

    ReplyDelete
  18. Ukweli ni kwamba Nimo Abdillahi alishiriki mashindano ya u-miss kwa kujificha bila ya wazazi wake kujua na ndio sababu hata jina alidanganya.N a hiyo ilikuwa rahisi kwasababu alikuwa anasoma na kuishi ktk majengo ya UDSM.

    Lakini aliposhinda ktk kitongoji,mama yake alishtuka baada ya kuona picha inafanana na ya mwanae ila alivyoulizwa na wazazi akasema sio yeye.

    Aliposhinda u-miss Kinondoni kuna watu walipeleka habari kwao na alipobanwa alikiri ni yeye na akaomba msamaha.Baba yake akamwambia arudishe gari na ajitoe,na Nimo (Nadya Mohamed)akafanya hivyo na Kamati ya Miss Tanzania-kina Makoye-wakakubali maamuzi ya wazazi wake.Nimo alishiriki kujifurahisha tu,kwasababu kama gari kwao yapo tu!

    Sidhani kama kuna uvunjanji wowoe wa "haki za binadamu" hapo.Haki ipi? Ya kuonyesha maungo mazuri ya kike hadharani? Mi nawapongeza wazazi wake kwa uamuzi wao wa busara na kumlea huyu bibie ktk maadili mema yenye kuzingatia muongozo wa Mwenyezi Mungu Mtukufu na sio the so-called "haki za binadamu" framed by our neo-colonial masters (western countries)!

    Kama kuna mtu imemuuma akawashtaki basi hao wazazi au afanye vingine atakavyo.Watu wengi ni mabingwa sana wa kushabikia mambo yasiyo jenga.Mzazi akimtaka mwanae aende kuswali watu watapiga kelele ila akimletea pombe nyumbani anywe wengi waliopiga kelele mwanzo watapoa na watatabasamu.

    Kama u-miss na mabo yanayoendana nayo ni mazuri basi tuanze kuyahamasisha ktk majumba yetu na kwa jamaa zetu kwanza na sio kwa familia zisizotuhusu kidamu because CHARITY BEGINS AT HOME!

    ReplyDelete
  19. wewe annoy hapo juu 8:57 mbona kama umelipwa vile. Unafanya damage contol nini hapa. Kwani wewe baba yako kuwa na gari basi wewe hutataka kutoa jasho na kununua lako? Wabongo bwana pumba nyingi na makebehi tu. "Oh kama gari kwao yapo tu"

    Nyie ndio mnao kufa maskini kutegemea cha ndugu. Na kuzurura mitaani na magari ya baba tu mnaona swafi. Make something for yourself. Make your own name and be proud of it. Sio "kwao yapo tu" basi mnalala tu.

    Kama wazazi hawakupenda alichokua anafanya ni sawa na ni maamuzi yao na wanajua what is best for their daughter. Lakini wewe pumba zako za kusema alikua anafanya kwa funny inaonyesha ufinyu mwa mawazo yako. Au hauko serious na maisha au ndio wale wanawake msiotaka kujitahidi mkiwa na dreams za kuolewa na billionear.

    Na kama alikuambia hivyo kuwa anafanya for funny tu basi ni bora hata wazazi wake walimkatalia. Kwasababu kitu chochote usipokua makini na kufanya kwa moyo wote ni mara chache utafanikiwa. Isije kuwa kesho aka fell huko shuleni au wahtever she is doing tukaja kukusikia unakuja kutwambia "unajua kwao ni matajiri sana hata shuleni alikua anenda for funny tu"

    Yaani nachukia haya makasumba ya wabongo kutegemea cha baba.
    Nikienda kazini kwangu napita jengo analofanya Chelsia Clinton. Kila siku asubuhi, iwe mvua, iwe snow, iwe 90 degrees Mond - Fri namwona aningia kwenye hilo jumba kwenda kazini.

    Sasa wee annoy hapo juu nadhani utasema hata kazi huyu Chelsia anafanya for funny tu.

    Ndio maana hatuendelei kwa vile siye wabongo once baba au uncle amewin basi wengine wote twasubiri atulishe ukoo mzima.

    ReplyDelete
  20. nina maswali mawili kwa Anony wa March, 17, 8:57 PM hapo juu yangu.

    1. Kama huyu binti amelelewa ktk dini kama ulivyowapongeza wazazi wake hapo juu, ilikuwaje aliingia ktk shindano hilo la U-miss wakati dini yake, as far as u are concerned, hairuhusu mambo hayo ya mashindano ya urembo

    2. Umesema wana magari nyumbani kwao, kwa hiyo hakushindana ili apate gari, kwa nini hakuwa na gari kabla ya shindano? Inamaana mzazi wake hajampa gari, so dont you think she needed a car of her own thats why alishiriki?

    ni hayo tu, naomba majibu

    ReplyDelete
  21. Huyu bibie hakupewa gari na wazazi wake kabla na baada ya shindano.

    Wazazi wake ni wale wanaojipa Uamiri wa kuamrisha watu wafuate dini watake wasitake bila hiari iwe kwa ngumi mateke au kuwannyima vyakula na urithi.

    Huyo bibie alikuwa akilazimishwa tu kuswali lakini binafsi hakuwa na mpango wa hizo swala tano.

    Wazazi wake hawajui kuwa unaweza lazimisha punda aende mtoni lakini huwezi mlazimisha anywe maji.

    Mimi nina hawara yangu anasoma Kibaha seminary ya Kiislamu karibu na Maili moja karibu na kituo cha Mizani inaitwa ambaye baba yake ni mjahidina wa kutupwa,mtoto wa kike akitoka baba yake humlazimisha avae hijabu ile ya kininja ya kufunika uso vinginevyo anamlamba makofi.Mtoto hutii na hutoka na kurudi hivyo likizo lakini ukweli wa mambo mtoto hapendi na kaapa akimaliza tu Shule atatoroka nioane naye aachane na huyo Amiri katili aliyejitangazia uamiri wa uislamu bila taarifa misikitini.Anasema baba yake kajipa kazi ya utume wa kupeleka watu ahera watake wasitake iwe kwa makofi au mateke.

    Lakini mtoto wa kike kaning`ang`ania kama luba.Anapenda ngono huyo sijapata kuona.Sijui sababu anakaa sana bila kupata sababu ya huyo babake.Nikikutana naye badala ya kulia yeye, mimi ndio huwa nalia na kupiga yowe kitandani anavyonivuruga.

    Nadhani wazazi wanaolazimisha watoto wa kike wawe waswalihina wana kazi ya ziada.

    Mimi kwa maoni yangu nimegundua kuwa ni ni rahisi kwa ngamia kuingia katika tundu la sindano kuliko kwa mtoto wa kike kuingia mbinguni awe mwislamu,mkristo,au kafiri. Awe mtoto wa sheikh,imamu,padri au kafiri.Awe analazimishwa kuswali au awe kaachwa huru aswali kwa uhuru.

    Nina uhakika mbinguni au ahera mtakuta vikongwe wanawake wengi kuliko wasichana kwa wale mtakaobahatika kufika huko msiokuwa na nyege za kutamani wanaume au wanawake na wasichana wasiokuwa wa kwenu.

    ReplyDelete
  22. hamna siku ninayoisubiri katika maisha yangu kama siku ya mwisho,siku ya hukumu.
    mimi binafsi sijui nitaenda wapi,ila nimeshakubali popote nitakapopelekwa nipo radhi.
    kazi kwa wale wanaojidai wao ndio wacha mungu wengine ni makafiri,haliyakuwa kuna mambo ya chinichini mabaya wanayafanya,halafu ukafika kule mungu kakugeuzia kibao,hata nikiwa motono nitacheka kweli.
    kuna moja ya vitabu vya dini kinasema,USIMUHUKUMU BINADAMU MWENZAKO,AU USIMUHUKUMU USIYEMJUA,eti leo wewe unamuita mwenzako wa imani nyengine au dini nyengine zidi ya dini yako eti KAFIRI,umeshaongea na MUNGU na kukwambia wewe upo kwenye kundi gani?
    kazi kwako,kuna vituko huko siku ya mwisho,acha nikacheke mie.
    MANYUNYU.

    ReplyDelete
  23. na wewe unayesema eti ni ngumu kwa wanawake kuingia peponi,una uhakika gani na hao wanaume?nyinyi ndio mtakaoenda kushangaa siku ya mwisho mungu atakapowageuzia kibao.
    kumbuka huyo mwanamke hatendi zambi bila ya huyo mwanamke.
    DINI sio UISLAMU wala UKRISTO,dini ni imani ya mtu.
    watu wa stle yako ndio mnaoenda kulia machozi ya damu kesho akhera,wakati sisi tuliojiandaa na huo moto tunaenda kupeta.
    nani ataingia PEPONI nani MOTONI,ni siri yake MAULANA.
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  24. Baadhi ya Waswalihina wengi wa Kiislamu ni wale wenye Matatizo makubwa Kama haliumwi Ukimwi ujue lina matatizo kibao ya Maisha.

    Baba yangu alikuwa mswalihina sana lakini akawa kiwembe kwa wanawake wavaa Hijabu.

    Nilipokuwa msichana mkubwa akawa ananitaka nikamkataa akawa mkali kwangu kama pilipili kwenye kila kitu mara oh! hujaenda swala utanikoma n.k hadi nikaamua kuasi dini na kuolewa na Mkristo nikazaa naye mtoto mmoja kabla hatujaachana na nikaamua baadaye mwenyewe kurudia Uislamu kwa hiari yangu.

    Baadhi ya Watoto wa kike wa kiislamu mbona kazi tunayo! Tunaonewa wivu na kusumbuliwa na vijana wa mitaani hadi wazazi wetu wa kiume!

    Tunaomba matatatizo ya watoto wa kike wa kiislamu hasa na baba zao yatazamwe upya na watoto wa kike wapewe muda wa Kusikilizwa na third party.Kuna moto uko ndani ya majivu na wala siyo siri.

    Sielewi kwa nini huyo binti aliamua kuasi Uislamu na kuamua kwennda kugombea U-MISS Kinondoni lakini siri ya Mtungi aijua Kata.Huyo binti angeulizwa na akapewa nafasi ya kusikilizwa taratibu na upande mwingine zaidi ya wazazi pengine kingeeleweka cha kueleweka.

    ReplyDelete
  25. MWENYE KUMUUMA IMUUME NA MWENYE KUTUKANA NA ATUKANE PIA.LAKINI UKWELI NI KUWA NIMO ABDALLAH ALIJITOA KTK MAMBO YA U-MISS NA KUFUATA MAWAIDHA YA WAZAZI WAKE.

    WATU WENGINE HAPA KAZI MATUSI TU,KASHFA NA KUJISIFU.ENDELEENI ILA NILIYOYAANDIKA HAPO JUU NIMEYATOA KTK LIBRABRY YANGU YA MAGAZETI (YA KUAMINIKA) YA BONGO WAKATI SAKATA LILE LINATOKEA.

    KAMA MLITAKA NIMO(NADYA) AWE KAMA WEMA WA T.I.D BASI MMEULA WA CHUYA.NA UDSM ALISHAMALIZA NA ANAKULA MAISHA MTAANI NOWADAYS.

    NIMO HANIJUI SIMJUI ILA KWASABABU NAJUA HIYO STORI NIMEIANDIKA KAMA NIIJUAVYO KWA MUJIBU WA VYANZO MBALIMBALI VYA HABARI.NAJUA WATU WENGI WANAPENDA KUPONDA TU HAPA NA MTU AKITOKEA NA KUANDIKA VIZURI KUHUSU MTU MWINGINE WENYE HANG OVER YA MABOX WANACHUKIA.

    KAMA KUNA MTU ANA MASWALI ZAIDI AENDE AKAMUULIZE MICHUZI,NIMO MWENYEWE,WAZAZI WAKE AU AYAPELEKE KWA MBUNGE WAKE YAKASIKIKE BUNGENI DODOMA.AU KAMA VIPI RUDISHA MUDA NYUMA NA UIBADILI HIYO HISTORIA.

    CHUKI,CHUKI,CHUKI,CHUKI;KASHFA,KASHFA,KASHFA,KASHFA;MAJIGAMBO

    ReplyDelete
  26. Mimi nimefanya kazi ya kupunga mashetani kwa miaka sasa.Jambo moja ninalojua ni kuwa ukipunga shetani huwa linatulia kwa muda baadaye hulipuka tena.

    Wale mnaodhani huyu bibie kaacha ushwaitani na kuwa Islamu Safi kaeni Chonjo.Wazazi wake wamepunga mashetani ya huyo mtoto kwa muda.

    Unaweza ukajitosa kuoa ukadhani umepata malaika aliyejirudi kumbe umeoa paka aliyekunjwa makucha ndani kwa kulazimishwa na wazazi ayakunje.Ukioa ndo utajua paka mwenye makucha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...