chini ni baadhi ya kurasa za jarida mama la muziki bongo liitwalo kitangoma toleo lililopita. hutoka mara moja kila baada ya miezi mitatu likiwa limesheheni stori na mapicha ya matukio mbalimbali kwenye kipindi husika. ni la rangi tupu na lina kurasa 62 na ni gross print ambapo wengine wameliita 'ebony' la bongo kwa jinsi linavyozungumzia masupastaa na mambo yao katika mwanga mzuri. toleo la januari-februari-machi liko jikoni na litatoka punde. anayependa kupata nakala wasiliana nami kupitia issamichuzi@gmail.com ama naibu mhariri wake michuzi jnr @ +255 755 836 972
msikilize mdau wa kitangoma aishiye marekani balozi dola hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi ulimaanisha nini uliposema hilo gazeti la Kitangoma ni la rangi tupu na pia ni Gross Print??? Je unamaanisha ni Glossy Paper Print au ni vingine. Maana naona kama umechemsha. Sio Gross Print ni Glossy Print. Na usikose kuzibandika hizi comments zangu maana najua unaweza kuzitia kapuni kwa kuona soo kwa kuchemsha.

    ReplyDelete
  2. Good idea and best of luck on the Kitangoma publication. Mawaidha yangu ni uangalie sana tenses na miss prints kwani hata zile articles za english zina typo kibao na inaboa sana kukiwa na typos, e.g. kuna tangazo moja la tanesco ambalo linasema limetoka "Republic Affairs department".

    Vile vile, kiswahili kinaweza kurefushwa sana na kupoteza ladha ya kusoma so maybe if you cut out the kiswahili kirefu prominent in your publication it will be also great - just write straight to the point without zungukaring mmbuyu.

    Other than that, good job.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...