
chini ni baadhi ya kurasa za jarida mama la muziki bongo liitwalo kitangoma toleo lililopita. hutoka mara moja kila baada ya miezi mitatu likiwa limesheheni stori na mapicha ya matukio mbalimbali kwenye kipindi husika. ni la rangi tupu na lina kurasa 62 na ni gross print ambapo wengine wameliita 'ebony' la bongo kwa jinsi linavyozungumzia masupastaa na mambo yao katika mwanga mzuri. toleo la januari-februari-machi liko jikoni na litatoka punde. anayependa kupata nakala wasiliana nami kupitia issamichuzi@gmail.com ama naibu mhariri wake michuzi jnr @ +255 755 836 972
msikilize mdau wa kitangoma aishiye marekani balozi dola hapa
Michuzi ulimaanisha nini uliposema hilo gazeti la Kitangoma ni la rangi tupu na pia ni Gross Print??? Je unamaanisha ni Glossy Paper Print au ni vingine. Maana naona kama umechemsha. Sio Gross Print ni Glossy Print. Na usikose kuzibandika hizi comments zangu maana najua unaweza kuzitia kapuni kwa kuona soo kwa kuchemsha.
ReplyDeleteGood idea and best of luck on the Kitangoma publication. Mawaidha yangu ni uangalie sana tenses na miss prints kwani hata zile articles za english zina typo kibao na inaboa sana kukiwa na typos, e.g. kuna tangazo moja la tanesco ambalo linasema limetoka "Republic Affairs department".
ReplyDeleteVile vile, kiswahili kinaweza kurefushwa sana na kupoteza ladha ya kusoma so maybe if you cut out the kiswahili kirefu prominent in your publication it will be also great - just write straight to the point without zungukaring mmbuyu.
Other than that, good job.