
kuna watu wanawatania wapare kuwa mabahili. hebu cheki ngoma hii
World Bank President Paul Wolfowitz may be dedicated to freeing the world from poverty - but he seems unable to afford a new pair of socks. Mr Wolfowitz's sartorial deficiencies were revealed when he took his shoes off while visiting a mosque in Edirne, western Turkey. Both of the grey socks sported holes with his big toes peeking through. The last World Bank annual report, for 2006, puts the president's salary as of 1 July, 2005, at $391,440 (£200,279).


Serious people do not pay attention to things like clothes except people like Kikwete and Lowassa. That is why they gain weight while doing the most demanding jobs.
ReplyDeleteMichuzi, niliwahi kuwa katika msafara wa kutembelea exchange room hapo Extelecoms House. Wanene wa chumba hicho walikuwa hawaruhusu kuingia na viatu ili kupunguza uwezekano wa kuingiza vumbi ndani ya chumba hicho. Kulikuwa na waziri wa mawasiliano na uchukuzi katika msafara huo. Waziri baada ya kuambiwa inabidi avue viatu, ilibidi aingie mitini na kuahidi kwenda kuwatembelea siku nyingine...:). Huyo mnyamwenga naye angeweza kuingia mitini ili arudi na soksi mma...LOL!
ReplyDeleteMichuzi hii naikumbuka, World Bank walisema kuwa it was planned for a purpose.
ReplyDeletemaksudiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteMimi nafikri hii ni sawa kuweka MVINYO WA ZAMANI KWENYE CHUPA MPYA they want us to think and believe they are behind us in attacking poverty which in my opinion its not true how come you get the salary worth $391,440 as World Bank president and still he can sit down and tell people how to overcome poverty i think what he should have done instead of wearing those torned funny socks of his,he should have at least taken initiative of giving half of his salary to build at least something like a school,hospital or build up something for poor people that would have meant a lot instead of taking us on the other side of wearing those socks to make us believe that he his fighting poverty my fellow Tanzanian brothers and sisters i hope if you calculate that amount of money in Tanzanian shillings its lot of cash you can even build up to 50 schools i hope you know the strategy of world bank,they can give u loan or grant but unless you follow what they want and to me,that is not acceptable how come i ask a loan from your bank and you know that i have to pay it back and you still put stiff conditions for me these people have a lot of propaganda when they giving you a loan or grant hope it really enters in your minds about what i am saying.
ReplyDeleteHuyu bwana ni mmoja kati ya ma neoconservatives wa Marekani, hawa sifa yao kubwa ni kuhakikisha wanaitawala dunia kwa gharama yoyote. Sasa kuvaa torn socks ni janja tu lakini mawazo na fikra zao ni yale yale conquire the world.
ReplyDeleteHuyu alitaka Sadam Hussein aondolewe toka wakati wa Operation Dersert storm, ya kumng'oa Kuwait wakati wa BUSH I. akiwa defense secretary. Hawezi kutudanganya na Socks. Chui ndani ya ngozi ya Kondoo.
Danganya toto hiyo ukitaka kumjua undani wake cheki hapa
ReplyDeletehttp://youtube.com/watch?v=hQAwr0bifP4
Tatizo sio lake tatizo ni hao wanaotengeneza cheap products. Hizo socks mpya kabisa ndio mara ya kwanza kuvaliwa. Sasa zinatoboka hata hazijagusa maji....te te te te
ReplyDeletetri kaka you are right i made a minor mistake in typing he was undersecretary of defence by then.
ReplyDeleteUkitaka kujua alivyokuwa anadhulumu haki za binadamu huko East Timot na Indonesia, fungua:
ReplyDeletewww.etan.org/issues/wolf.htm
JAMANI TUSISAHAU KWAMBA "IT IS NOT THE CLOTHES YOU ARE WEARING BUT MONEY IN YOU POCKET LIFT DOWN LIKE? KAMA MNASEMA HANA HELA BASI MCHECKINI KWENYE WIKIPEDIA.COM
ReplyDeleteUBANIFU (AU THRIFT KAMA WANAVYOITA WAINGEREZA) NI NJIA MOJAWAPO YA KUHAKIKISHA KWAMBA MATUMIZI TA ANASA AMBAYO YANARUDISHA NYUMA MAENDELEO YANAKATALIWA. WATU WALIOANZA NA MITAJI MIDOGO SANA WAKAFANIKIWA KUJENGA BIASHARA KUBWA DUNIANI WANA SIFA MOJA: HAWAKUWA VIMWAGA! WATU WENGINE WANATAKIWA KUWAIGA WAPARE, KUSHINDA BAA KUNYWA KUTWA NZIMA ETI SIO MBAHILI SIO UJANJA
ReplyDelete