sensei rumadha fundi akicheza kata 'kururunfa' ambayo ni miondoko ya mapigano katika karate staili ya goju kwai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Akija Bongo nakatiza nae uswahilini kigiza kikiwa kimeingia kisha vibaka wamkabe ili nione movie live, sio kila siku kwenye vioo na theatre

    ReplyDelete
  2. Hii Kata kama "Sanchini kata" hiyo sanchini ni nomaa unapiga kama treka vilee..sio mchezo. Ngoja nirudi kwenye Game na mie mtaniona na Dani yangu ya pili.

    ReplyDelete
  3. WEKA PICHA YA DITO HAPO TUM-MWAGIE KOMENTI ZAKE BASI PAMOJA NA MCHIZI WAKE JK, jk alianza bomba naona anachemka kutaka kumbeba mshikaji wake. habebeki huyo anachafua resume tu bure

    ReplyDelete
  4. Michuzi, mtaka haki amekukumbusha tu kuweka ya Dito. umekaa kimyaaaa! Nami naomba uweke ili tuijadili. Tafadhali shekhe wangu, au waogopa ngumi?

    ReplyDelete
  5. Huyo dawa yake ni rungu tu, akifanya huha, unainua, rungu akisogea unalenga goti, hapo na huha inaishia....

    ReplyDelete
  6. Eeh bwana michuzi hebu niangalizie hapo Zanaki Dojo kama Sempai Kheri Kuvuli bado yupo au Sempai Mbezi na Sempai mwingine alikuwa machachari sana alikuwa na gereji yake akipa jina la "Sanchini" hii ni kata nimemsahau jina lake. Halfu tulikuwa tunajenga nyumba ya Sensei Bomani kule mbezi imeshaisha?

    ReplyDelete
  7. Ee bwana huyo Sensei ana uhusiano na ukoo FUNDI RUMADHA wa TABORA?, maana hilo jina limekumbusha mbali sana mzee FUNDI RUMADHA alikuwa kiongozi mzuri wa dini hasa wale wanao zikiri, alikuwa rais wao, Du kweli mungu mkubwa wazee wa TABORA wameisha.

    ReplyDelete
  8. Angali wengine siku hizi wanabeba dito! Watakudito!

    ReplyDelete
  9. Uzuri wa mbinu hizi ,zina kufunza kujilinda. Na mbinu ya kwanza wanakwambia kwepa ugomvi.Ikibidi kimbia. Ukikuta mtaalamu anayenuia kutumia mbinu hizi basi huyo si mtaalamu.Si mpiganaji.Hata katika vita za kikweli .Mtaalamu wa vita hajiingizi vitani kirahisi rahisi.

    ReplyDelete
  10. Bwana aliyetaka kujuwa kuhusu uhusiano wa Fundi Rumadha wa Tabora ni kweli yule baba yetu mzazi na si jina letu ni Rumadha Fundi Rumadha

    ReplyDelete
  11. Ndugu aliye taka kujuwa uhusiano wa Fundi Rumadha wa Tabora haswa yule ni baba yangu. tutafutane asi mimi niko Dallas, Texas

    ReplyDelete
  12. Ni kweli tuna uhusiano na huyo Fundi Rumadha wa TBR ni baba yetu

    ReplyDelete
  13. Nimefurahi sana Rumadha, mi pia natoka Tabora nilikuwa nahudhuria sana Ziara (maulid) kipindi kile nipo madrasa napiga dufu ndio maana mzee nilikuwa namfahamu sana, Mi natoka Mtaa wa Rufita pale karibu na Abdul majini Gatini a.k.a (Honolulu), Nipo hapa Scotland UKEREWE nanoa bongo.

    ReplyDelete
  14. huyu ni makali wa wote!tena mtoto wa mjini Kariakoo!kwa hiyo mtoa maaoni namba 1.Usijisumbue kabisa heti utamkaba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...