lango kuu la sanaa za maonesho ambalo magwiji wengi wamepita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wakati huo nikiwa na mawazo na kukiwa na maonyesho au mazoezi ya sanaa ndani ya jengo hili ndio ilikuwa sehemu ya kukimbilia. Ukitoka hapo unaenda kwa mama lishe kupata msosi wenye radha ukilinganisha na sehemu nyingine za chuo.
    Kiju!

    ReplyDelete
  2. kuchafu ile mbaya..kwani hizo vumbi na nyasi vipi?

    ReplyDelete
  3. Nikiwemo mimi ingawaje sijawa gwiji kwani nilikuwa najazia kozi tu nikachukua "Arts and Society"

    Kule kwenye 'globu' yangu umepatia.Michuzi we mkalikweli ni Tukuyu. Ila nilikuwa ndani ya Coaster nikitokea Kyela kumsalimia bibi yangu Ndimbumi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...