
mabibo hosteli kuzuri.....
hii hapa imeingia leo leo
An American and a Japanese were sitting on the plane on the way to LA when the American turned to the Japanese and asked, "What kind of -ese are you?"
The Japanese confused, replied, "Sorry but I don't understand what you mean." The American repeated, What kind of -ese are you?" Again, the Japanese was confused over the question. The American, nowirritated, then yelled, "What kind of -ese are you ..Are you a Chinese, Japanese,Vietnamese!, etc......"
The Japanese then replied, "Oh, I am a Japanese."A while later the Japanese turned to the American and asked: What kind of 'kee' was he. The American,frustrated, yelled, "What do you mean what kind of'-kee' am I?!"
The Japanese said, " Are you a Yankee,donkee, or monkee?"
that hostel stinks!!! vyoo kwenye halls vinanuka na usafi bado sana... bila kuzungumzia hao wakaazi... afadhali Ubungo Hostel.. wanakaa watu wazima wenye heshima zao..
ReplyDeleteKweli binadamu tunasafiri, miaka minne iliyopita nilikuwa hapa kama fresher, nadhani hilo jengo kulia ni block F nami nilikuwa block A( haionekani pichani). Nimeimiss sana ardhi ya Tz, na watu wake.
ReplyDeleteMungu bariki nchi yangu!!!!!!!!!
Hii Hostel ni nzuri sana ila wakaazi wa hapo ndo si wastaarabu hata kidogo, yaani inasikitisha kuona maji yapo kwenye matenki chini lakini mtu anashindwa kuchukua ndoo ya maji na kuingia nayo msalani matokeo yake anaingia hivyo hivyo na kuacha mauchufu yake juu, pia kuna watu wengine walikuwa wanapika lakini walikuwa wanashindwa hata kupangusa jiko alilopikia, yaani inasikitisha sana kuona wasomi ambao tunawategemea wawe viongozi wetu wa baadae wanakosa ustaarabu na sijui wakija kuwa viongozi watakuwa viongozi wa namna gani. Kwa kweli Watanzania inabidi tubadilike.
ReplyDeletehapo juu umenishtua sana,yaani still unahitaji kuchota maji kuoga au kwenda chooni...sishangai pakiwa pachafu na wala usiwalaumu hao wanafunzi ni ujinga wa hao wanaoendesha hapo..why not pump water to the bathrooms/toilets? wajinga sana hawa
ReplyDeleteUtunzaji wa sehemu unayokaa ni jinsi ulivyolelewa::kama ulilelewa nyumba ambayo maji yapo ya kumwaga, unadhani ukiwekwa mahali ambapo maji ya shida utaweza kuyafuata yalipoo?Sasa sana utapaacha pachafu tuu::
ReplyDeleteNashauri maji wayapump so kuwe na running water