kimvua kimenyesha dar siku mbili hizi, basi dah! balaa tupu. si maji hayo. hapo chini kuna salaam za masoud wa kipanya a.k.a kp ambaye anarudi kwa kishindo baada ya kimya cha

muda mfupi akionesha jinsi alivyosherehekea wiki ya maji....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duu afadhali mvua ziendelee kunyesha tuu ili mgao wa umeme uje mwaka 2008.

    ReplyDelete
  2. Ndio "Bara bara nzuri" zilizojengwa na Mbabe Mkapa. Kukiwa na manyunyu tu mafuriko kila kona. Sijui ikija mvua kubwa ya masaa 48 itakuwaje (Mwenyezi mungu apishilie mbali).

    ReplyDelete
  3. loh! tz siludi tena kwa khali yenyewe ndo hiiiiiiiiii,,, bola nikaushe zangu huku huku ughaibun

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...