
mambo haya sasa hivi bongo si kificho tena, pamoja na tishio la miwaya na utata wa dawa kama inavyosema habari hii hapa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa Bw. Michuzi hii aibu sijui tujificha wapi. Nipo hapa Uswidi kama mwanafunzi. Ni jana tu tumekuwa na mjadala kuhusu gender and sexuality, hili la mashoga na malesibiansi likishika chati. Watoa mada walikuwa malesibiansi ukweli akiwemo classmate wetu mwanamke. Misimamo yetu hasa madenti kutoka afrika na asia tuliponda sana vitendo hivi, tukidai ni vyakuletwa na havina nafasi ya kujadiliwa katika jamii yetu kwani tuna matatizo mengi ya msingi yanayotukabili. Sasa nimeona hii picha ya mashoga tena home? ni kaona kweli tunakokwenda ni kubaya. Dada mmoja alitetea ushoga, tukamuuliza suppose ukijikuta mmewe anapumuliwa kisogoni utajisikiaje? alijibu nitaomba taraka, tukasema enedelea kuishi naye maana unatetea hilo.
ReplyDeleteMsimamo ni kuwa watu hao wasipewe nafasi, na wanaosema wanawanyima uhuru watakuwa hawalitakii mema taifa letu
usishangae mambo ya pwani hayo ati,waja leo waondoka leo!
ReplyDeleteRais wa Gambia kaoteshwa dawa ya ngoma sasa wazungu wanapinga wanataka kuifanyia utafiti, badae wamgeuzie kabao ''deal hilo''. Ila Mhh!!!! inabidi kweli ichekiwe isiwe ''TANONE'' type, Ila WHO wampe muda awaeleze vizuri huenda Mungu kaleta ''NUSURA'' Kupitia Mheshimiwa Rais.
ReplyDeletewewe mpuuzi wa post ya kwanza unajiita toka USWIDI una akili finyu sana punda sana wewe...kwanza ujue mashoga na wasenge wapo karne nyingi sana hapa duniani na hakuna mtu anaamua kuwa senge tuu hiyo ni nature na unazaliwa hivyo kama wewe ulivyozaliwa jeusi kama makaa ya mawe na wazungu wakakufanya slave wakidhani ni species tofauti na binadamu....nasema haki sawa kwa wasenge wote,na kwanza wewe nani to judge wengine na kuwanyima haki zao ...mijitu kama hii inabidi iwe mislave maisha yao yote
ReplyDeleteNi kweli kama watu wanapona bora waitumie pamoja na hiyo nyingine kama hazi kataani. Inawezekana ikawa inatibu lakini wazungu wanataka waje waseme ni wao wameivumbua kama ikija kuwa dawa kweli.
ReplyDeleteNa kuhusu huyo anayekataa kujadili kuhusu mashoga. Huyo ni mjinga na hajui anachosema. Ni heri kuongea na kujua ukweli. Kuliko kukaa kimya tu na mwishowe watoto wetu wote wanaishia kuwa mashoga kwa kuangalia TV.
Ni kama ukwimwi Tanzania umemaliza watu lakini ni lini watu walianza kuwa open na kuongea au kujadili hadharani jinsi ya kujikinga? Tuengewahi mapema kuweka awareness ya huu ugonjwa toka ulivyoingia Tanzania tusingepoteza watu wote hivi. Au maambukizo yake yasingekua mengi kama yalivyokua.
Aibu na kujifanya walokole saana haitatufikisha popote wakati ukweli ni kuwa watu wanakufa kila siku na huu ugonjwa na wala vijana wengi wasingekuwa wanajeuka kuwa mashoga kama sasa hivi.
USA walivyoanzisha darasa la sexual reproduction kwa watoto wa madarasa ya chini ilikua big deal. Wazazi wengine oh ...no...mtoto wangu ni too young kulearn that. Kumbe kila siku wanaona wenyewe kwenye internet na wanashindwa kuuliza maswali kwa watu wakubwa. Kwa hiyo wanaishia kufanya experiment wenyewe. Sasa repot ilivyotoka inaonyesha teens pregrancy imeshuka kwa kiwango kikubwa sana hasa kwenye hizi shule silizo katika miji mikubwa. Waliokua wanalipinga hilo darasa sasa hivi ndio wako mbele mbele kusupport. Hamna kitu kizuri kama open communication na awareness.
nadhani mwandishi hapo juu unammanisha MAMBO YA MWAMBAO HAYO ! au sio ...?
ReplyDeleteMSIMU WA PARADE UMEANZA HUKU TUKIELEKEA SPRING...SUMMER NA ILE PARADE KUBWA INAYOHUDHURIWA NA WATU WAZIMA ZAIDI KULIKO ZOTE AMERIKA YA KASKAZINI(ST. PATRICK-IRISH,PUERTO RICO,DOMINICAN, VIENTE DE MAYO,AFRICAN AMERICAN,ISRAEL ETC.) GUY PARADE AMBAYO HUFANYIKA WEEKEND YA MWISHO YA JUNE.JAPO WANASIASA KAMA GAVANA,MASENETA NA MAYOR WA NEW YORK NDIO VINARA/WAONGOZAJI KWA KUWA HIZI JUMUIA ZA MAMBO YA WASENGE NA WASAGAJI ZINA WAPIGA KURA WENGI.LAST YEAR YULE ASKOFU MSENGE WA NEW HAMPSHIRE ALIKUWEPO NA MAASKOFU WENGINE.
ReplyDeleteKUNA WAAFRIKA WASENGE KUTOKA KENYA,BONDENI,MALI,NIGERIA,MADAGASCAR NA NCHI NYINGINE, WANA CHAMA CHAO WANAKIITA "UHURU WAZOBYA".
HII PARADE BALAA TUPU...ILA KWA BISHARA ZILIZOPO KARIBU NA 5th AVENUE... MAMBO MAZURI NA HUWA KILA MFANYABIASHARA HUVUNJA REKODI YAKE YA MWAKA KWA MAPATO.
Wewe anon hapo juu wa 10.39, Unakuwa mkali na kuwaita watu wapuuzi weka jina lako hazalani tujuwe tuna mashoga wangapi wapigania haki za mashoga, Ili watu wajuwe kwamba na wewe unapakatwa na inabidi uende kwa wanzako huko San Fransisco-California uhudhurie paredi la mashoga wenzako, Gays are immoral period.Uende popote na dini yoyote same answer, Namshukru Mungu sina watu wa hivyo kwenye familia yangu.Otherwise be who you are na pia usiwajie juu watoa maoni cause this is a free world ndo maana wewe umechagua kuhemewa kisogoni and no body kills you, so kama una hasira nenda kwa former nba star hardaway aliyesema anawachukia ma gay live kwenye radio na mwambie hayo maneno inayosema na nina suspect wewe ni Redneck mweusi (racist for calling others slaves).Nasema tena Homesexuality is Immoral na kama una hasira sana kula sumu bwabwa wewe.
ReplyDeleteJamani watu wamechunguza na hawajapata ushaihidi wowote kwamba mtu huzaliwa msenge, na wala hakuna genetic relation yeyote, watalaam wanasema kwamba watu huwa wasenge kutokana na environmental factors. Mimi ninavyoelewa ni kwamba kuna msenge, yaani gay mtu ambaye hana sexual interest in the opposite sex na watu ambayo hupenda kupakua wanaume wenzao. Sasa mimi naona haya yote ni lifestyle ambayo mtu binafsi huamua kusihi . It is funny kwasababu hii tabia haifanywi na wanyama wowote zaidi ya binadam, ni ajabu sana. Wasenge na ushoga umekuwepo muda mrefu sana tokea enzi za biblia, mimi nadhani kila mtu ana uamuzi wa kuishi anavyotaka. Mimi huanafikiria sana kama ndugu yangu angekuwa hivyo, hunajiuliza kama nitamtenga au vipi, lakini I conclude that i would not. How can i rebuke my own brother or sister? Kwahiyo wazee haya masuala ni magumu na mazito , na sidhani kama ni jukumu letu kama wanadam kuhukumu wanadam wenzetu , azi hiyo nadhani anayo mola peke yake
ReplyDeleteKipe, I couldnt agree with you more, hata nchi zilizoendelea ambao ndio wanaojiita ma-LIBERAL kwenye maswala ya jinsia bado kuna mjadala mkali sana kuhusu ushoga na usagaji. Dini zote zinazoeleweka zinapinga na ndio maana Sodoma na Gomora ziliangamizwa........So in that case homesexuality is not normal(but rather abnormal even to you gay people and immoral to people like us)
ReplyDeleteSikuona umuhimu wa anonymous wa Saturday, March 17, 2007 10:39:00 PM, kumtukana jamaa wa hapo juu, kwani ameongea kistaarabu na kutoa mchango wake. Wewe pia ulitakiwa kutoa mchango wako au kupinga hoja yake kwa hoja kama mimi ninavyofanya hapa chini kupinga hoja yako inayotetea ushoga na usagaji.
Si kweli kwamba shoga au msagaji anazaliwa hivyo, ni uamuzi ambao wewe mwenyewe unaamua kuuchukua kwa sababu nyingi tu kama....kuanza mchezo huo ukiwa mtoto mdogo na hatimaye kuzoea na kuupenda, kutaka kuonekana tofauti, dhiki, experiment n.k. Kwani mtu huzaliwa mwanaume au mwanamke (under normal circumstances), na ninafikiri hiyo ndio jinsia yako. Hiyo hoja ya kuwa shoga/msagaji eti ni nature ndio hata haina nafasi kabisa katika mjadala huu kwani its a very vague and lacking argument to justify someone's sexuality. You are naturally born male or female, and you naturally be staraight and heterosexual, otherwise it being UNNATURAL and more likely IMMORAL.
concomitant13
homosexuality has been there since the old testament days. It doesnt take a genius to figure out that it is against nature. God the Almighty created the anus and rectum for excretion of faeces, period!!! it is a way of getting unwanted things out of the body, nothing should go up there unless if it's for medical reasons. Homosexuality is a psychological problem, get helllpp!!
ReplyDeleteKuna mchangiaji ametoa maoni yake kwamba anafikiri watu waachwe waishi wanavyotaka. Ndugu yangu, hapa duniani kuna mengi sana...kuna wazazi wanajisikia kufanya mapenzi na watoto wao,je nao tuwaache tu waishi wanavyotaka?Watu wanaofanya ushoga na usagaji (homosexuals) wanasisitiza kwamba kufanya mapenzi kwa jinsia tofauti (heterosexuality) imetengenezwa katika jamii yetu yaani social constructed (sio nature). Sasa je watu waachwe wafanye mapenzi na wazazi au ndugu (siblings) zao kwa misingi ya haki za binadamu??
ReplyDeleteKwa maoni yangu,mjadala ni mgumu sana huu lakini ni vema kujadiliana maana hata tukikaa kimya haisaidii kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu.
Annon hapo juu,lazima uelewe pia mkojo ni unwanted fluid(waste)from the body,so it means we're not allowed to f****$% pussy?cos inapitisha unwanted materials the same as ass!!!ni suala la uchaguzi kula maharage au nyama vyote ni mboga tu,kwa hiyo lazima ujue "jogoo jina ,kuku ni kuku tu.
ReplyDeletenawakilisha hoja michu.
hivi mnajua wanachotaka wasenge au ni ushabiki tuu sana sana hilo punda hapo juu la USWIDI...wanachotaka ni kuweza kuoana tuu,kutambulika kisheria...period,sasa nyie nani kuanza kuingilia maisha ya wengine na kusema hawana haki hiyo just kwa sababu hawafanyi mapenzi kama mnavyofanya nyie...nasema wapeni haki zao....wewe Anon uliyesema usenge ni kwa binadamu tuu,soma vizuri na utagundua katika Penguins kuna homosexuality
ReplyDeletepeople are comparing homophobia and pedophilia!! those are two different behaviors, and there are scientific facts backing them. they are not socially constructed me thinks. I'd assume people should have their argument based on those lines. asante
ReplyDeletemi nadhani kama watu waachwe waishi wanavyotaka basi yangefanywa mambo haya ili ikawa na busara zaidi.
ReplyDelete1. kusingewekwa sheria katika serikali. kwa maana sheria ina mipaka na mipaka humuongoza mtu/watu vipi afanye na vipi asifanye.
2. kadhalika dini isingekuwepo. M.Mungu ameweka dini akiwa na maana kamili. sheria zitumike ili tupasi katika mitihani yake na tuweze kuvuna matunda mema ama vinginevyo.
kwa hiyo nahisi kuna umuhimu wa kujadili nini kizurri tukifanye na nini kibaya tukiwache. na kipi tuwafunze watoto kadhalika kipi tuwakataze. kwa maana hiyo wasenge na wasagaji hata kama watajitetea lakini bado sheria zinawakamata
kama watu waachwe waishi kama watakavyo.
ReplyDeletekusiwepo serikali wala dini
Jamani hata wanyama wanajua hili dume lenzangu hili jike lenzangu and so hapo sigusi mpaka nipate the opposite sex...Hata magnet inajua hizi ni like poles, siattract bali opposite poles hapa zinaatract
ReplyDeleteSasa binadamu ukakosa kutofautisha hayo, tukuweke kwenye kundi gani..Wanyama na sumaku wa/zimejua hilo..Sisi binadamu inakuwaje?..Think about it!..Acheni kumfanya Mungu mjinga kwa kukupa ubongo wenye uwezo wa kufikiri!Doh!
ole wao wafirwaji na wafiraji kwa maana hamtauona ufalme wa mbingu hata kwenye biblia ipo
ReplyDeleteHuyo anayeniita mimi faggot mjinga sana. Labda yeye ndio anayetaka kutokak kweye closet.
ReplyDeleteMimi nakubaliana na huyo anayesema soial eviroment ni big factor kwa hii jinsia. Na ndio maana na sema ni heri tuwe open na kuwaelimisha vijana wadogo kuliko kukaa kimya.
Mbona miaka mama na baba zetu waliyokulia kulikua hamna gay/lesbian kama sasa hivi?
Mtoto akizaliwa kama tom boy asiyependa madoli na kutaka kupanda miti kama mwanaume once anafika miaka 12 basi utom boy unaisha na anarudi kufanya mambo ya kiusichana. Lakini sasa hivi mtoto akizaliwa tu tom boy basi kila kitu inakua oh hutu ni dume tu na kwa vile TV kila corner basi naye anajifanya dume kweli kweli.
Ni heri kuwaelimisha watu na kujua ukweli. Kuliko kukaa kimya na kucondemn tu. Na nibora kuwaeleza watotow etu lipi ni right na lipi ni wrong mtu mkubwa akikufanyia. Vijana wangapi waliokua wanapenda kuwa alter guide or acolyte wmaalter guide wangapi waliharibiwa na mapadri? kama wangekua na open communication na wazazi wao si wangefahamu hayo mapema? Once wamekua wakubwa ndio hao wanajinyonga, depress au kujeuka kuwa gay kwa vile walishaharibiwa.
Wewe KIPE unayesema sio gay na wala huna watu kwenye familia yenu aliye hivyo. You real need to grow up or you don't know what you are talking about. Nyie ndio watu mnaosema mimi simjui mtu aliyekufa na ukimwi na wala hamna mtu kwenye ukoo wetu hata mmoja ninayemjua alikufa na ukimwi. Please...kila siku watu wakifa no body wants to say the truth...Ndio maana maambukizo yanazidi...oh amekufa na malaria, nimonia lakini tukiwa wakweli na kuelimishana tutaodoa mengi.
Huyu basketballer anatafuta publicity yake. Wewe hardaway ni Mungu wako. Hardaway jina limeisha sasa anatafuta publicty. Who cares about him anymore. Na kama hawapendi ni yeye. D+Yesu alisema tupendane. Tatizo sio kuchuki mtu mweleweshe.
Mwanao atakuja kukwambia kesho yeye ni gay ndio sijui utakunywa sumu au nini at that time.
KAKA MICHUZI
ReplyDeleteNAKUSIHI UWE MAKINI KWA WATU WANAOJIBU PÓINT ZA WATU.
MTU ANAMWITA MWENZIE PUNDA NA MENGINE KIBAO JAMANI NAWE UNAIPA RUHUSA IPITE, MI SIKUBALIANI NA HILI.
KILA MTU ANAMTAZAMO WAKE, NA MASUALA YA KUTUKANANA SIDHANI KAMA YANATAKIWA KUPEWA NAFASI HUMU.
NA NINA IMANI UMELIWEKA HILI SWALA ILI KUJADILIWA HIVYO KILA MTU ANALITOLEA MAWAZO KADIRI AFIKILIAVYO SASA IWEJE TENA KUANZA KUTUKANANA? INASIKITISHA SANA.
KAKA MICHUZI FATILIA MAANA YA ALL COMMENTS MUST BE APPROVED BY THE BLOG AUTHOR.
SASA WATU WATAANZA KUOGOPA KUTOA MAONI KWA KUOGOPA MATUSI. NA NYIE MNAOPENDA MATUSI JIBADILISHENI BWANA,
WEWE UTOE MAWAZO YAKO KAMA UNAVYOFIKIRI, SIYO KUTUKANANA TU. AHSANTE
Mungu aliweka kila kitu duniani kwa kazi yake. Akaweka kila kitu/kiumbe na sehemu yake yaani wanyama porini, samaki majini, ndege hewani, binadamu waliwekwa kila kundi na utamaduni wake n.k. Hata viungo vya mwili wa binadamu kila kimoja na kazi yake.
ReplyDeleteKazi aliyofanya ni nzuri sana lakini Helas!!somehow kwa kutaka kuonyesha ujuzi zaidi kama Lusifel alivyofanya watu wameamua kwenda against nature, hasa kuwenye field ya sex: wakubwa na watoto, wanyama na binadamu, binadamu wa jinsia moja, oral, anal, maybe baadae masikioni, machoni...anywhere ili mradi kuna tundu.
Halafu tuna lalamika UKIMWI!!!
Hilo ni onyo toka kwa Mungu na kama hatusikii Kama kulikuwa na Sodomo na Gomoro ya kwanza why not ya pili?
Mungu ni Mungu hachafuliwi kazi YAKE!
wewe Cinega or kinega sijui hapo juu unayejidai kutetea watu wasiitwe punda unaonekna ur mind is very shallow na huelewi maana ya ustaarabu...huyo MSWIDI ameinsult watu sana kuliko yeye alivyoitwa punda...can u imagine dunia ya leo unawaambia watu hawana nafasi ya kudiscuss jambo just kwa sababu wewe hukubaliani nao?...na wewe unayesema mungu hataki naomba ujue sio kila mtu anaamini mungu na serikali yetu sio ya kidini ya kuchanganya imani za watu na katiba na kwanza ujue wasenge na malesbian wengi ndio hao hao wanaojifanya dini kwa sana na kutukana wengine kumbe wao ndio number one,mwisho namalizia hizi ni private issues ambazo serikali haiwezi kuwaambia watu namna ya kufanya mapenzi kwa hiyo hapo ni STOP .....HAKI sawa kwa wasenge wote na malesbian
ReplyDeleteNi ya kweli haya Michuzi?
ReplyDelete1. DAWA ZINAAMBUKIZA UKIMWI
2. WATENGENEZAJI WA ASPIRIN HAWAKO MAKINI
The right of citizens of our URT to marry shall not be denied or abridged by the URT or anybody on account of race,tribe or sex orientation or previous condition of servitude..Bunge shall have power to enforce this article by appropriate legislation
ReplyDelete...na WASWIDI wote endeleeni kutoa hoja zisizo na akili ambazo ziko driven na hate,ushamba,stereo type na kutokubali ukweli tuu watu wa namna hiyo wapo na wataendelea kuwepo na ni bora kuwakubali tuu na kuwapa haki zao
Tutaanza kuondoa sheria za kipuuzi kama hizi ambazo ni sawa tuuu na kuwanyima watu haki kwa sababu ni wasenge
ReplyDelete1)Wanaharaakati wamechambua sheria kandamizi na zinazoendeleza ukatili wa jinsia ambapo wanapendekeza hatua mbalimbali ikiwemo kuundwa kwa sheria inayomruhusu mwanafunzi anayepata mimba na kujifungua aruhusiwe kuendelea na masomo
2)katika kitu ambacho siwezi kusahau ni jamaa yangu alinyimwa kufanywa mtihani wa final form four eti kwa sababu alikuwa ana deni la school fees na ni shule ya serikali,na wakati huo ilionekana kawaida tuu huo ukatili..jamaa miaka minne ilienda hewani bure kisa school fees ambayo angeweza kuruhusiwa na kulipa baadaye
3)Kinachofuata ni haki kwa wasenge na lesbian wote,dunia ya leo hata mbwa humnyimi haki yake iwe mwanadamu mwanzako...mnacheza nyie na mtawakubali tuu hata kwa vifaru,someni US history wakati wa civil rights Rais Kennedy alituma national guard kulazimisha wanafunzi weusi wakubaliwe darasani
The world is getting crazier every day
ReplyDeleteBe alert and watching.
Ladies and gentlemen, find below, pictures and a story of a lady who brags to have spread hiv-aids to 124 men in Nairobi University
Hi Friends ,
I am sending this to all of you with a prayer that it will move your heart to tread this earth keeping in mind that in your life you have a person of greater power above you to whom you are answerable. And.... HIV/AIDS is for real and it is here with us. The graphical pictures at the end are very disturbing but they are for you to understand the turn of events.She was by all means a great beauty. But by the time of her death she didn't look even like her shadow.
Please read to the end and forward it to all friends and loved ones
GOD BLESS YOU
AND MAY HIS GRACE BE SUFFICIENT FOR YOU AS KEEP YOUR LIFE SAFE
In Referance to the girl who infested over 124 masculines, I have the details from her for you to read through and know what happened thereafter and actually how she really looked when life was still available{Pretty} .
START!!
RECALL THIS::::::::
RUINED LIVES
When I joined Moi University in September 2001, I promised myself "that it's in Moi University I got it and its here I will leave". I have indeed lived to keep my promise.
I was in Form Three when a student on his attachment in our school proposed for a relationship. He had all the qualities a woman would want in a man so I gave in. He told me all a form three girl would want to hear. In my innocence and naivity, I succumbed to his pressure to have sex with him, consequently, I lost my virginity to him.
After his placement, he reported to college for his final year and we still had contacts. I visited him on a number of occasions, (I've even lost count the number of times I visited him). He was my first and only love and therefore hanged on every word he told me.
My boy friend later graduated and we lost contact until last month (March) when his sister told me about his whereabouts (details of this later).
Before registration in the Faculty of Law, in PSSP, I went for medical tests as is the requirement. I then opted for an HIV test, which unfortunately turned out to be +ve. It then downed on me that I had treaded the rest of my life for a university student who had deliberately and intentionally preyed on my innocence.
My first impulse was to take away my life, counseling sessions did not mean much to me and I quickly walked out of the session. I however did not confide my status to anyone until today.
The following day I went to a different Health facility and the results were still +ve. Therefore there was no doubt that I had been infected by this teacher-student. Since as the sister said, he had passed away after 6 months of being bed-ridden, besides, I had never had any other sexual relationship with anybody - No blood transfusion and the last time I used a syringe was in 1989.
Now, since whoever infected me did not mind about my life, I will also infect as many as possible as long as they are university guys oblivious of my status.
So guys, anyone of you out there who may have crossed my "path" should count himself unlucky and should quickly place an order for ARTs supply before it's too late!
I decided to spread the virus indiscriminately in the Campus, (and have no apologies), because its here I got and I intend to leave it here.
I've a well-documented report of all those guys who "crossed my path" since I joined this college. I will be posting their full names and registration numbers on the Students' Notice Board after the end of Sem. II Exams (August).
So far, I've had 124 students, yes one hundred and twenty four. Out of these, only 6, yes six used a condom.
I still reiterate the fact that I owe nobody an apology and am still on a spreading spree till August.
Otherwise, I wish you success in your end of First Semester exams as you wait for your slow and sure DEATH.
N.P.
THERE-AFTER!
Happy are those who recieve my mail.....
Dear Colleagues,
When I first got this email, my first reaction was to DELETE it. But on a second thought and after reading the letter from the young deceased lady at Moi University ...I braved the photos below.
The image you are about to see below is VERY DISTURBING though it touches on our human weakness...the weakness of the flesh. For you that God has ordained a purpose, for you that may be tempted on several occassions, for you that has a family, for you that wants to start a family, for you that have a dream to age gracefully and contribute to this nation....thank God for the gift of life! Make use of it...when temptation come your way brave the memory of! the image below and remember the words of the lady at MOI UNIVERSITY and why she did what she did to whom she did it...those people could easily be you and I.....
Take God as your guide, follow his steps...temptations come and go...life comes once and it gone.
I do not count myself as lucky...but as aperson who God has given a lease of life to perform certain obligations. And all who have been affected or afflicted by HIV-AIDS...continue providing love to them, for those of you who have been spared such challenges, learn to be loving and supportive to those living with the disease.
Young women and men, learn to wait and be faithful to your partner once you take the next step of family...
Once again the image below is DISTURBING for the faint hearted you may want to just read the email attached alone, for the brave .....SCROLL Down...
Gerald.
Its seems like the world is coming to an end. I've seen it all personally having been to Moi University about Four years ago, and it so scarely how the youth is risking lives. We all need to take care; this is not the era where we never used to talk about sex to our young ones- be they children, brothers, sisters, cousins....W e need educate them!
!
I believe this is just but a tip of the iceberg; Its only that she came out openly and said whats been happening to her. But, THINK! How many more out there are out in the same mission, other Universities, Colleges, Commercial enterprises, Schools, work places, Brothels... Other are not even as educated as she was to use the media and probably educate others as she did (Unfortunately! )
We need to be very cautious.
Finally its ashame that even lecturers- married as they were are on the list. Its is a national shame.
May God help Kenya .
Remember the lady who slept with a hundred plus guys and left them infected? It seems all of us should be VERY afraid. This is what she said.......( See attached file: RUINED LIVES.doc)
--------------------------------------------------------------------------------
--------------------------------------------------------------------------------
To the world you may be one person, but to one person you may be the world.
When the only tool you own is a hammer, every problem begins to look like a nail.
Experience is what you get when you don't get what you wanted ...
God bless you
__._,_.___
Messages in this topic (1) Reply (via web post) | Start a new topic
KUWENI MAKINI NAWAAMBIA NDUGU ZANGU, USIFATE ULIMBUKENI UWIII TUNAKWISHA. NI HATARI JAMANI TUNAHITAJI KUBADIRIKA. USITETEE KITU AMBACHO HAKINA MIKONO WALA MIGUU MATOKEO YAKE...
huyo mwanamke ni mshenzi kupindukia,ila kwa taarifa yake ajue si wote alolala nao bila condom wameambukizwa maana kuna issue ya discordant couples,yaani baba anao mama hana au vice versa.
ReplyDeleteukimiwi dawa yake ipo na wazungu wanaificha hawataki watu wajue mlolala fikiriyeni jambo hilo nafikiri hata rais wa Gambia anaijua seriously.
ReplyDeletewazungu wanataka tupunguwe sisi weusi katika dunia hii ndo maana waka creat ebola and aids na kuna facts kabisa mashirika ya marekani na kissinger walikuwa ni wasambazaji wa virus hii ya ukimwi. amkeni jamani wabongo wenzangu eeh.
magic johnson kisha pona lakin kambiwa asiseme na kapewa mshiko wanguvu ndo maana amafunga mdomo. nikweli bado uko ukimwi si mchezo laki wali na pesa na powerful people wanapona tu walala hoi mimi na wewe ndo tunaondoka na tusifanye mchezo na wala mungu haja creat ugonjwa huu.
wazungu wabaya nyinyi eeh someni muelewe mambo jamani eeeeeh..
mungu peke yake ndo anayetupenda na kutusaidia hapa duniani. yani wacha. nililia nilipo fanya research hii ya ukimwi na ebola na kuona fact lives
anonymous wa 1:12 on march 22 umesemaje eti, huyu mwanamke mshenzi, ushenzi wake upo wapi wakati yeye pia kaabukizwa na kuharibiwa malengo yake. na lengo lake likikuwa kupata elimu siyo ngono au hujasoma vizuri hii story.
ReplyDeletemwanamke shujaa sana huyu nampa heko na mkome mnapowaabukiza wanawake mjue na nyinyi mtaa abukizwa tu na issue ya discordant couples huwa ni chache sana katika asili mia mmoja hupata mtu mmoja au wawili issue hiyo kama ilivyo mchezo wa bingo ya taifa.
hongera sana mwanamke huyuuu.