kwa watalii wa dumila kama mimi jioni tunajimwaga bichi na kupata msosi ndani ya migahawa ieleayo (kulia) majini huku ikipiga raundi kwenye kriki ya dumila

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wewe naye

    ume fikia BURJ AL ARAB? mbona hujapiga picha za kule JEMEIRA BEACH? acha kutuchosha ...nilitegemea ungepiga picha za angani za visiwa vipiya ukiwa kwenye ndege lakini wapi

    usaniii tuuu umekujaaa

    ReplyDelete
  2. We fala hapo juu si uende wewe ukapige hizo picha.Mbona watu wengine hamtumii akili,we umemuajiri huyu Michuzi au?Eti 'nilitegemea ungepiga picha za angani....'hayo mategemeo yako yanahusiana nini na akili na mawazo ya Michuzi?Acha ufala,kuwa muungwana kama unataka kuomba picha za maeneo maalumu..omba kwa adabu sio kuamrisha.Ukome!!!

    ReplyDelete
  3. wewe mbona umekuwa mkali namna hiyo mwenyewe huyo hajali sasa wewe umekuwa mkali utafikiri nini

    Of course mitaji yetu nio inamweka mjini ndio maana tunataka kujua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...