Home
Unlabelled
mkao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Enzi za kubinafsisha seats uwanja wa taifa zimekwisha. Simba au Yanga wafikirie kujiletea maendeleo zaidi kwa kujijengea viwanja vyao wenyewe.
ReplyDeleteKama wataendelea kuwa na mawazo ya kuwania seats ndani ya uwanja mpya, then watakuwa wamefilisika kifikra na watakuwa wamekwisha!
uwanja unazidi kupendeza mambo mazuri hayo, yanga na simba mhh! labda watakaa kutokana na rangi za viti, anyway uwanja ni wawa tanzania na sio wa simba na yanga, so mambo yakuwania seat ni nomii
ReplyDeleteHapo hakuna cha yanga wala simba, watafunikwa na uwanja kwani siti ni uwanja mzima tofauti na taifa ya zamani, walijibinafsisha siti kwa sababu ya uhaba, sasa kama wataweza kujibinafsisha na huu mpya basi tutarajie mapato makubwa ya vilabu hizi na wachezaji wao kulipwa vizuri angalau waweze haka kumiliki RAV4 tu, sio mwanangu mwanangu uswahili mwingi wa sasa mtu anajifanya mshabiki damu ili aingie bure mpirani, Huu mpya hamna hiyo, ''Ila wanaweza zuka makomandoo wakadai uwanja haufai warudie wa zamani''
ReplyDeleteme naonelea simba na yanga wangeendelea kutumia uwanja wa zamani mpaka kiwango chao cha soka na nidhamu kitakapo panda vinginevyo ile vita ya mikojo itaendelea tu hata kwenye hili wanja letu la kisasa, hapa ningesajesti timu ya taifa tu ndio iwe inacheza mechi kila baada ya wiki mbili ili kuinua kiwango cha soka bongo, tena ningesajesti iwe inacheza na timu kutoka bande zote za dunia, ni maoni yangu tu hayo wadau
ReplyDeleteNi kweli kuwa Yanga na Simba zinatakiwa zianze kufikiri kujenga viwanja vyao,maana zina mashabiki wengi But still ni muhimu kuwa na maeneo yao(viti vyao) ndani ya hii olimpiki stadiumu.Maana mechi kubwa watalazimika kutumia uwanja huu tu!Na ni muhimu kukaa sehemu tofauti kwa sababu za kiusalama(huu si utaratibu wa kibongo tu,nchi nyingi upo.Besides,hata Italy kuna timu kubwa hazina viwanja vyao (e.g Inter Milan na AC Milan).Kwa hiyo yanga na simba kujenga viwanja vyenu mtapiga bao sana.Kumalizia nadhani Yanga wakae kulia, Simba kushoto kama ilivyokuwa CCM Kirumba miaka ya 90.(sijui kama inaendelea mpaka leo)
ReplyDeleteNi kweli mashabiki wa Simba na Yanga wanatakiwa kustaarabika. Mambo ya kurushaiana mikojo na vinyesi uwanjani hayana nafasi ktk karne hii.
ReplyDeleteLakini pia, si haki kuzilaumu klabu za simba na yanga as if zinawatuma mashabiki wao kufanya huo uhuni.
Tukumbuke ni klabu hizo tuu zenye uwezo wa kuujaza uwanja huu, maana statistics zinaonesha kuwa mapato makubwa kwenye football match in Tanzania, ni yale yanahosisha Yanga ama Simba.
Tukiendesha hili wanja kienyeji kama tulivyozoea kufanya vitu vyote vingine, basi siyo tu watu watarushiana mikojo, bali hata mabomu ya maangamizi ya halaiki.
ReplyDeleteUkifuata standard ni kwamba kila block ya viti inakuwa na walinzi wawili walio-dedicated kutunza usalama na ku-coordinate emergency yeyote.
Lakini hizi concern watu wanazotoa zinaonesha ni kiasi gani hatuko tayari kuendesha hili wanja. Ndiyo maana mimi nasema tuajiri wazungu hata wawili tu - wasaidiwe na manamba watanzania.
Yanga Simba wasiruhusiwe kabisa kucheza katika huu uwanja. mechi za kimataifa tu hapa.mambo ya Yanga na simba hapa ndio uwanja utakuwa mchafu tu. Huo mwingine si bado upo? Watumie huo otherwise wakicheza humo viingilio viwe ghali sana tu. Ili waingie watu wastaarabu. Tukumbuke hela nyingi zinatumika kuujenga huu uwanja kwa hiyo tukiwaendekeza watani wa jadi kulumbana humu watatuharibia liuwanja letu la kihistoria
ReplyDelete-Shabiki kubwa toka Mambibo
mbali ya simba na yangu.viti vitachowa na kungolewa..kuta kuandikwa andikwa matusi yot na vidude vya maembe
ReplyDeleteBlaza Michuzi, ningependa pia utupe habari zaidi ya hili wanja letu, 1.je serikali ina mikakati gani ya kulitunza na kuliendesha? je kutakuwa na kampuni au agency itakasimamia fully operations? 2. Ulinzi 24 hrs, maana hivyo viti tusije tukavikuta mnadani kkoo na mwisho kama kutakuwa na mechi za usiku ama laa. Asanteh!!
ReplyDelete