
ambwena yesaya a.k.a ay akiwa na mkoko wake.
wadau wa dc na kwengineko bofya hapa mpate mavituz letesti
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona unaita gari la mwenzako mkoko
ReplyDeletekumbuka ile methali isemayo chako ni chako japo.......
Na ujue a car is something that needs to take you from point a to point b. That is it...other than that ndio hayo kujitafutia matatizo au show off...au ndio wale watu wameweka stiker kwenye bamper la gari "MY CAR IS MY HOUSE" helooo
Anony 8;30 wewe utakuwa sio m'bongo. MKOKO, NDINGA,USAFIRI, MCHUMA n.k vyote vinamaanisha GARI kama kitu hujui uliza sio unadandia dandia tu na kuweka comments zako kwa sababu tu huna cha kufanya, kama vipi kalale.
ReplyDeleteAnony 8:30:00 PM
ReplyDeleteKwa Kiswahili cha mtaani (mjini) mkoko si lazima iwe negative ama kudharau, isipokuwwa ukiongeza "ni" kwa maana ya mkokoteni ukimaanisha gari, basi , hapo tafsiri yake ni kudharau.
Wewe Mtoa Maoni: Anonymous Tarehe Saturday, March 31, 2007 8:30:00 PM,
ReplyDeleteKwa taarifa yako Mkoko ni slang ya GARI aka Motokaa
We hapo juu naona ni mija ya wale walioondoka bongo miaka mingiiiiiii iliyopita halafu mnakosa nauli ya kurudia. Mkoko si neno la kudharau ila ni neno la mtaani limaanishalo gari. Hata likiwa ni gari ghali kiasi gani bado ni mkoko.
ReplyDeleteThanks michuzi kutupa infor za masupastaa wetu uchwara wa bongo.
ReplyDeleteBut afadhali huyu katumia busara kuchagua gari ya kununua kulingana na income yake sio tu kununua nembo ya gari, poa ingawa mtu mwenyewe haonekani sijui picha umepiga usiku gizani kwa kamera isiyo na flash mi naona meno tu
WE ACHA WIVU, HUO SIO MKOKO WALA NINI? NI WABONGO WANGAPI HATA BAISKELI HAWANA? MUSIMUONEE DONGE A.Y? DO NOT HATE ON THE DUDE?
ReplyDeletewewe hapo juu wewe ni wa wapi umekulia seheem gani choon nini au unaishi wapi inaonekana sio ugaibuni wala bongo town labda mrandizi yaani hata jina mkoko aujui we ni fala kweli michuzi katumia jina la mtaani yani mkoko ni usafili hata baiskeli ni mkoko,wewe ndio umeonekana fala kweliiiiiiii we wa wapi inaonekana hata michuzi akisema mjengo wangu wewe utaona kadhalau ingia kwenye kamusi ya mitaani yaani jifunze mambo ya mitaani watakubokoa wewe
ReplyDeleteJamani sio wote wakishuka bongo wanaenda kulearn viswahili vya mitaani. Mweliweshini aelewe.
ReplyDeleteWengine old school ....mchwiaaa.....Mimi nikisoma sana sana usafiri ulikua wa mauda na magarimoshi mwenye gari alikua waziri jirani yetu.
ni zuri ila hilo ndo ulilonunuliwa na yule mtoto wa mfanyabiashara maarufu mwanza?joyce gachuma au?kuna fununu huyo demu ndo amekuweka vizuri kishenzi ila baba yake kamind cuz binti kakimbia chuo ulimweka ndani hadi udsm wamemdiscontinue......
ReplyDeleteHa!anony(10.06 AM)unataka kuniambia AY naye ni wanaume kama mabinti?Mbona jamaa nasikia anazo?tuondoe kwenye huo utata ndugu yangu,vinginevyo hilo litakuwa jungu.
ReplyDeletendio anayosema ni kweli na huyo joyce amempangishia nyumba kijitonyama ila mwanaume huyu alivyukua sio muungwana amemtosa dada wa watu,yaani ryt now yuko depressed si kitoto...money cant buy it all..
ReplyDelete