Home
Unlabelled
nyumbani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunamshukur Mungu kukufikisha salama,pole na safari kaka.Wasalimie huko mtaani unakoenda.
ReplyDeletekhasa kauli yako thabit nakunga mkono nyumbani ni nyumbani hata kama pangoni na je zawadi mbona huna za dumila kuwapa jaama wa uswazi? au flus unazo mfukoni kila mtu unammegea chake?
ReplyDeleteduu napa miss home kichizi tena sana nitamani hata kulia ninapoona picha za mitaa ya home, hebu piga basi mitaa katika mtaa wa lindi juu na chini kariako sehemu ya gerezani tafadhali.
hoem sweet, dirty, joto, vumbi, vurugu na umaskini ...but is always home!!
ReplyDeleteSitoweza ubadili na sehemu yeyote duniani!
Wewe kƬng'ang'anizi wa 8:19pm , jumatano ya March 14, umerudi tena na maombi yako ya mtaa wa lindi na gerezani, maana mara ya mwisho uliona round about ya uhuru na msimbazi ukaanza , ooooh, nimepamiss, oooooh, MIM nenda basi mitaa ya gerezani ulete picha.
ReplyDeleteShiiiiiiiiiit!!!!!!!!!!!
Kwani huyu michuzi umemwajiri? au mna ubia na kazi yake. Unajua Michuzi akiona hii picha inafaa ndo anaitundika hapa. Sasa kila mmoja akiagiza, wa Kigoma atasema , pale karibu na meli mbovu, Dodoma atasema pale daraja la Bahi, Morogoro atasema alikozikwa Sokoine, Tanga atasema mapango ya Pangani, Mbeya atataka alikochunwa mtu ngozi, shenzi type. Yaani Michuzi aishie kutafuta picha eti kwa vile kuna watu wako nje wamepamiss. Kama umepamiss , kamata pipa, kapaone live. Rudi tulia, mwache michuzi afanye kazi yake
Naomba kutoa hoja
Home sweet home ndugu yangu. Yaani pamoja na yale mataa ya dumila lakini huwezi ameni nilivyofurahi kuona picha ya home
ReplyDeletePole na safari na thanks for all you do.
kweli nyumbini ni nyumbini tu,lakini hmmmmmmmmmmm,wacha turudi tulijenge taifa letu.japo panatisha.
ReplyDeleteSasa wewe ndugu yangu unayeomba kupigiwa picha.Nini kinakusumbua usiende huko mtaa wa Lindi,gerezani????
ReplyDeleteMichuzi wewe tanua tu dumila,ukerewe..kuna watu kutoka nchi walizopo mbinde.Wanabaki kusema tu home sweet home.
namuona chinga pembeni na viatu vyake vipi Michuzi amekubana Pea moja nini? tayari hivyo vimeishapigwa kiwi.
ReplyDeleteBongo ndio sihami NGOOOOO! I feel like Africa sasa inakuwa Heaven too many foreigners are getting settled here. Go to pubs like Trinity, Sweety Easy, Irish Bar, Q bar... u will feel like ur in other country.... What are all this people doing here?
ReplyDeleteSeriously..... I LOVE DAR!!
Hahahaha Misupu Noma Hioooooo Safari Yote Ya Dumula Hata Kipaseli??? Poa Lakini Story Za Dumila Zawadi Tosha Uswazi Hatutaki Makuu
ReplyDeleteDa asavali, maana Dumila ilikuwa Dumila...
ReplyDeleteHapo panatisha mzee, hata kama home sweet home jamani tunalimwa PAYE kwenye mishahara yetu kila mwezi. Hizo hela zingetumika kukarabati barabara kama hizi Dar..
Michuzi, nifikishie ujumbe wangu kwa diwani wa eneo hilo ukipata nafasi ya kumuona ukiwa kwenye raundi zako...
Asante!
Da asavali, maana Dumila ilikuwa Dumila...
ReplyDeleteHapo panatisha mzee, hata kama home sweet home jamani tunalimwa PAYE kwenye mishahara yetu kila mwezi. Hizo hela zingetumika kukarabati barabara kama hizi Dar..
Michuzi, nifikishie ujumbe wangu kwa diwani wa eneo hilo ukipata nafasi ya kumuona ukiwa kwenye raundi zako...
Asante!
michuzi umekataza matusi katika blog yako lakini kinachonishangaza na kunistaajabisha nikwamba bado unakubali na kuziweka comment za matusi. nakushukuruni sana watoa maoni wa march 14 at 9:44 pm mrekebisha tabia naona hata hajijui hajitambu na tabia yake, matusi yanaonyesha jinsi ulivyokosa malezi bora ya mamayo huko ulipo lelewa porini na wapili au kama ndo huyo huyo aliyerudi tena na duku duku lake wa march 15 at 3:45 am nakushukuruni sana kwa maoni yenu lakin si vema kutumia matusi.
ReplyDeleteNa nafahamu fika kwamba michuzi sina ubiya naye na anaweka picha anayoitaka yeye mwenyewe na blog yake ni ya bure na silazimishwi kuingi hapa ila nimeomba na ni ombi na silazimishi au umeona/mmeona nimelazimisha?
Mbona ujinga umekuzidini nyinyi wana ndugu, yote haya ni ukosefu wa malezi bora ya wazee wenu na lishe bora na ukusefu wa elimu na upanuzi wa fikra na akili zenu zilizo finyu na za kitahiria.
Na nafahamu pia katika ombi langu kuna kukubaliwa au kukataliwa sasa matusi ya nini ndugu zangu eeh au hizo pombe na bangi mnazo tumia zinaku asirini kiakili na kifikra?
na mkaonaa nguzo ni kutukana, si muache mwenyewe michuzi anikataliye kwani blog hii ni yenu?
mijiti kama nyinyi hamkusoma wala hamjui kisomo mmebaki domo kaya tu na mnajiona ndo vidume shupafu kumbe pumba tupu, wakosefu wa adamu na msio leleka nyinyi, mko kama watoto wakuokotwa majalalani.
michuzi kama hutaki kuweka hizo picha sina tatizo mimi, lakin sio unawaweka jamaa hawa kunitukana bila sababu maana nishawaona wako low standard kwangu mimi na sina wakati na kujibishana na mijitu ya pori wasio funzwa na wazee wao na jamii yao, mijitu ya porini daima huwa ya porini hata ukiwafanyaje daima watakuwa hivyo hivyoo.
Aliye funzwa na kulelewa na kuleleka vema kwao, daima na katu hawi hivi na hatoi maneno pumba kama hivi, kwani umeona nashindwa kwenda huko bongo naweza tena kwa raha zangu na hizo picha nitazipata msikonde washamba nyinyi mliokosa adabu na msohaya wala kuona vibaya mmeona matusi ndo silaha, mimi tu nimeona bora mshinde nyinyi maana kwetu nimelelewa nikaleleka na matusi si nguzo yangu na sibishani daima na watu wa low standard na watoto mlo tupwa na mama zenu majalalani nyinyi.
mkitaka kumuelimisha mtu basi mnamfahamisha mtu kwa ustaarabu na nidhamu siyo leo kufoka foka kwa kimombo, unadhani mimi siwezi kukujibu matusi ya kimombo siyo?
ndugu yenu michuzi hatoyaweka maoni yangu nikiaza kujibishana na nyinyi kwa matusi ya kimombo, kama mnabisha basi jaribuni na mtakiona kilichomtoa kanga manyoya yake.
mnajifanya kichwa ngumu na wasomi kumbe wasamba tu nakujueni nyinyi fika hata kama mkiziba majina yenu.
na michuzi ukitaka uchapishe haya maoni yangu na kama laaa usichapishe, uamuzi wako kusuka au kunyoa maana ni blog yako.lakin nakuambia jambo hili kwamba umewaweka ndugu zako kunitolea kashfa zisizo na msingi siye mimi bob wakutukano hivyo, wambiye basi niwaona face to face na tuone nani anajua kutukana na matusi ya kimombo.
ustaarabu kitu cha bure na kuelimishana ni kwa nia njema na kama nimekosea kuomba hizo picha basi naomba samahani sana na sizitaki tena na nitazipata karibuni.
kwani mnadhani big deal nini? wapori pori daima ni wa pori pori katu daima abadan hawi wamjini hata akisoma na kuvaa tai na suti na kula pamba za madesigner na kuwa na pesa ni wapori pori daima tu na utaziona dalili zake na hulka zake hazifichiki daima.
shukran tena mlioni nisanif na kunitolea kash-faa za pumba kama ilivyo akili zenu.
Point anon hapo juu. Hii ni blog ya Issa kama anataka ataweka alivyoombwa kama hataki chaguo lake kwanini mtu amjibie?
ReplyDeleteHii sio mara ya kwanza watu kumwomba Issa si picha tu hata contacts za watu anaombwa ni chaguo lake kutekeleza au la.
Anon hapo juu alipoomba hakutukana mtu sasa nie wengine mnamtukana kwanini? Mungu wangu where are we heading? reasoning fupi hata kidole gumba kirefu. Fikiria mtu wala humjui wala hayakuhusu unaanza tukana. Bwana asifiwe kwamba ni wachache wenye akili haba kama hao la sivyo.....can u imagine what a nation?!
Put the right comments on the right place in a right manner folks!!!!
Anon hapo juu wala usingewajibu hao, silence is an answer to a fool! Wana matatizo hao.
Nyani haoni kund*l*
HOME IS HOME, LAKINI MMMH MIMAJI MICHAFU KILA MAHALI, WATU WANAKUNYA TU, KUJENGA KIHOLELA, RUSHWA NK, WACHA NIENDELEE KUKAA UGHAIBUNI TU. NYIE ENDELEENI TU NA HUKO.
ReplyDeleteUlipokuwa Dubai nilikuomba mara nyingi upige picha za uswahilini huko emirates lakini hukutoa hata picha moja ya pembezoni kwa walalahoi wa kiarabu LAKINI uliporejea kwenu umekimbilia barabara za vichochoroni; sasa unatoa ujumbe gani kwamba Dubai ni bora kuliko hapo!!! Kama mwandishi habari toa habari kwa pande zote.
ReplyDeleteKwa hiyo unapoenda nje ya nchi inabidi kutafuta na kuonyesha maisha na maendeleo ktk maeneo wakilishi, vinginevyo onyesha picha za samora na posta mpya kama unavyofanya kwa Dubai!!!
Asante sana.