nyuzi bin nyuzi za twanga intaneshno zakong'otwa na hawa jamaa. wadau tunaomba majina...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wakwanza ni shakazuru na wapili ni shakashia

    ReplyDelete
  2. Miraji Shakashia na Ismail Kizunga, nichague zawadi ya picha

    ReplyDelete
  3. huyu wa kulia mbona anamfanana innocent njovu meneja mstaafu wa simba sc,au macho yangu?

    ReplyDelete
  4. Kizunga mbeleeee na Shakazulu!huyu Shakashia mbaya sana mshkaji huyu,toka enzi zile yuko na pambamoto awamu ya pili.namkubali sana jamaa,mpe big up!

    ReplyDelete
  5. MNANICHANGANYA,SHAKASHIA AU

    SHAKAZULU AU KIZUNGA MBELEEE

    JAMANI?????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...