hizi ndo nyewele zangu na bangili ambazo sijabadilisha mwaka wa pili sasa...aisha ananambia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Mbona vinyweleo ka man!

    ReplyDelete
  2. mimi nadhani wewe aisha madinda kweli hizo picha ni za kwako haiwezekani hao watu kama unavyodai wewe mwenyewe wanakuchukia hadi wakampata mtu anaefanana na wewe ili tuu kukudhalilisha wewe mimi naona ni wewe mwenyewe sasa watu wako wa karibu wamekusihi kitendo hicho si kizuri sasa unatuletea kiswahili kingine ndg yangu umaarufu ama pesa hazitafutwi kwa kujidhalilisha.najua umekiri kosa lkn je umekiri kosa toka moyoni?mimi nakusikitikia sana pia nakuonea huruma jinsi ulivyoteleza

    ReplyDelete
  3. michuzi mbona mna mtetea aisha tu na nora je au yeye niyeye kama nora ni yeye basi na aisha atakuwa yeye
    wekeni mambo sawa jamani sio kumbeba aisha kwa sababu nora hana mtu wa kumtetea na lile shanga mwanangu ni so sio mchezo

    ReplyDelete
  4. Mtoto mtamu huyu!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. mbona hizo shanga kama za kwenye picha?

    ReplyDelete
  6. Hello Aisha wana holland bado tunakumbuka vitu vyako. achana hiyo mishenze inayotaka kuaribu sifa zako sisi tunakuamini na ile picha sio yako.

    ReplyDelete
  7. Mchubuo ukichanganyika na shida na njaa na ushamba hata ufanyeje utaonekana kama mcheza kibisa.

    ReplyDelete
  8. Anon 11:43 umenena mwaya. hiyo michubuko hata sijaona mtu akipendeza nayo, labda kwa wale wenye pesa zao wanatumia michuo ya gharama kidogo wanaonekana kama walitaka kuwa watu, lkn hii michubuo ya mikorogo (ya kuchemshwa) mmh! wanatisha, hapo akitoa hiyo suruali miguu utakimbia na hayo mawele miguuni.
    kwa nini watu hatutakikukubali rangi yetu? mbona nzuri tu, ila uwe msafi unaoga vizuri unatengeneza nyusi zako na nywele utaonekana bomba tu.
    Ni hayo tu.na nyongeza wazungu wanatama ni huu weusi wetu.

    ReplyDelete
  9. Babake mkorogo original huo!!!yaani hata aliyekuwa naye inabidi ajiulize hata pamoja na kumpiga picha vipi alitumia ndomu au ndo vile tena kujitoa mhanga!!ucheza shoo ni umalaya period!!!hakuna sentensi za kutetea wala nini!!Michuzi basi mkeo kilaza unapiga picha tu na wacheza shoo umeweka vishoka naye anaona alright tu!!babake ameliwa!!Ngoma ni kitendawili bongo hata uwe Michuzi au Mboga!!

    ReplyDelete
  10. Michuzi, imebidi nitafute muda kushughulika na picha za Aisha Madinda ulizoweka katika hii blog chini ya vichwa vya habari, ukome! (Aisha1), Mie (Aisha2) na Ben (Aisha4). Na kama rejea, nimetumia picha ya mtu tofauti yenye kichwa cha habari 'Supa modo', ya Miriam uliyoitoa kwa blog yako Sunday, September 24, 2006 http://issamichuzi.blogspot.com/search?q=miriam&x=0&y=0 Picha ambayo imesambazwa kwa mails na kuelezwa kuwa ni ya Aisha Madinda pia nimeipata nimeibatiza CLAIM. Katika picha hizi zote, kwa vile utambuaji wa sura umeleta utata, na haswa kwangu ambaye simjui kwa kumuona Aisha Madinda, kwa hiyo imebidi nitumie program iitwayo Sigma Scan Pro, ambayo mie huitumia kufanya kazi zangu za kisayansi, ila hapa imebidi niitumie ili kupima urefu wa viungo vinavyoonekana katika kila picha hizo nilizozitaja, katika muda wangu wa ziada. Viungo nilivyopima ni vile ambavyo haviathiriki kulingana na posture ya mpigwaji picha, yaani kalala au kasimama. Nimepima urefu wa "kutoka ncha ya kidole cha kati hadi elbow-kikwe cha mkono, urefu wa bega hadi bega, urefu wa tokea ncha ya kidole cha kati hadi wrist-kiwiko/kifundo cha mkono, urefu toka paji la uso nyusi zinapokutana hadi ncha ya pua, urefu toka mwisho wa jicho moja hadi mwisho wa jicho la upande mwingine, na urefu wa kidole cha kati. Kwa kuwa picha hizi zimechukuliwa wakati tofauti na zina resolution tofauti, urefu wa pixels haungeweza kulingana. Hivyo kitu kinachoweza kukubalika katika kuainisha picha hizi ni uwiano wa urefu wa vitu vilivyopimwa vikiwa katika picha moja, na kisha kulinganisha uwiano unaopatikana katika picha nyingine. Uwiano namba 1 = urefu toka mwisho wa jicho moja hadi mwisho wa jicho la upande mwingine/ urefu toka paji la uso nyusi zinapokutana hadi ncha ya pua, uwiano namba 2 = urefu wa tokea ncha ya kidole cha kati hadi wrist-kiwiko/kifundo cha mkono / urefu wa kidole cha kati, uwiano namba 3 =
    kutoka ncha ya kidole cha kati hadi elbow-kikwe cha mkono/ urefu wa kidole cha kati, na uwiano wa 4 = urefu wa tokea ncha ya kidole cha kati hadi wrist-kiwiko/kifundo cha mkono / urefu toka paji la uso nyusi zinapokutana hadi ncha ya pua. Katika kuhakiki kama njia hii ni fasaha katika kulinganisha, picha za Aisha Madinda zilizopigwa tofauti, zimepimwa na kuangalia kama uwiano unatoa jibu linalokaribiana. Uwiano namba 1 unapatikana katika picha zote za Aisha1, Aisha2 na Aisha4, na ni 1.7, 1.5, na 1.6, katika mlolongo huo. Hii inaonyesha kuwa tofauti ya 0.2 katika matokeo yaweza kukubalika, na kuwa njia yangu ya uwiano inaweza hapo baadae kutoa jibu la uhakika. Picha CLAIM ilosambazwa kwa mails ina 1.9 na picha ya Miriam ni 1.5. kwa haraka haraka, inaonyesha kuwa Miriam ana uso mwembamba na mrefu kuliko Aisha na CLAIM, na CLAIM ana uso wa mviringo kuliko wote. Jibu haliwezi kupatikana kwa hili tu kwani, namba 1.7 imezidiana kwa 0.2 tu na namba 1.9. Kwa hiyo uwiano mwingine umepigiwa mahesabu kulingana na vipimo vinavyoonekana katika picha hizi. Picha Aisha1, Miriam na CLAIM zimehusianishwa kwa vile zinaonyesha viungo vingi kwa pamoja. Uwiano namba 2, ni 1.9 kwa Aisha1, 1.9 kwa Miriam na 2.0 kwa CLAIM, Uwiano namba 3, ni 4.3 kwa Aisha1, 4.5 kwa Miriam na 3.6 kwa CLAIM. Uwiano namba 4 ni 3.7 kwa Aisha1, 3.3 kwa Miriam na 4.7 kwa CLAIM. Matokeo haya yanaonyesha kuwa Aisha Madinda na Mariam wana composition zinazokaribiana, na kuwa CLAIM wa e-mail ni tofauti na Aisha. Ni kweli mtu aliyeko kwa mail ni mnene kuliko Aisha Madinda kwa kuwa, uwiano namba 5 pia, urefu wa mabega/urefu wa kidole cha kati ni 4.3 kwa Aisha Madinda (ina maana mwembamba) na 3.6 kwa picha ya CLAIM kwenye mails inayodai ni Aisha Madinda. Kwa mtazamo wa kisayansi, picha iliyosambazwa kwa mail hailingani na picha za Aisha madinda zilizopo kwa blog, hawa ni watu wawili tofauti, na tofauti zao hazichangiwi na lini picha ilipigwa. Naomba kuwasilisha hoja, 1M.

    ReplyDelete
  11. Michuzi mara kwa mara nimekuwa nikiasa kwamba tunaweza kujifunza mengi kupitia blog hii na vilevile wachambuzi waje na hoja zilizojisheheni kabisa. Mimi binafsi si mjuzi kama huyo ndugu hapo juu, nimefurahishwa na uchambuzi wake nitatumia maelezo yake kujifunza zaidi. kama ni mtu anafikika basi ningeweza kujifunza kwake zaidi. Nakupa hongera anomymous hapo juu kwa maelezo yako.

    ReplyDelete
  12. NYWELE ZA MIAKA MIWILI ZINAKUWA FUPI HIVYO KUMBE? HAYA,YANGU MACHO NA MASIKIO! MISUPU USINITUPE KAPUNI TENA NA LEO!

    ReplyDelete
  13. huyu dada kwa kweli ameumbika ana sex figure haswa mie uwa udenda unanianguka akikata mauno stejini na nikimpata naweza kusahau mpira amebalikiwa umbo mwanana haswa wanaomzushia washindwe
    udumu Aisha mie nadhani ni shabiki wako mkubwa ktk hii nchi na nikienda kuangalia Twanga ujue nia ni kukuona Aisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...