chama letu la ma-boni hia hia bado lipo na wanachama wa nguvu kibao wangalipo mtaa wa swahili...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hahaha!! Michuzi, hapo umenikuna sana mshikaji, tena pale pale panaponiwasha.hili Chama liko wapi? Adolph Rishsrd, godwin mapango, na mtu mwenye majina matatu Salim Carlos Mwinyimkuu pamoja na Muhaji Muki na Leordgad Tenga tupe picha Zao Michu Usitubanie

    ReplyDelete
  2. Pondamali acha mzaa kaka! Unakumbuka picaha hiyo Michuzi Pan 2 Kiltex 1(Pondamali anacheka anapiga makofi, wachezaji wenzake wanamuuliza) Kama kweli we Pan utakumbuka enzi zile za Gazeti la Michezo linatoka kila wiki au Mwezi kama sikosei

    ReplyDelete
  3. hahahaaha!michu bwana,ukitoka hapo pan,inafuata dispensary,halafu inakuja saloon ya anco kabla hauzaingia mtaa wa donge,opposite,na hiyo dispensary kuna nyumba ya mzee digosi.
    nyuma ya pan kuna nyumba ya kina kibonge,mwalimu wa karate mwenye mkanda mweupe.
    manyunyu

    ReplyDelete
  4. Hili chama sio mchezo nakumbuka sana enzi za Mzee mangara.mzee Said Biboze na Mzee Omary kitenge wote hao ni marehemu. mwenyezi mungu awaweke mahala pema peponi. amin Pan ilikuwa inatisha ngoja nikupe list kidogo 1.juma pondamali (mensha)2.jafari abdullahani3.mohamed mkweche 4. redgad tenga 5.jella mtagwa 6. mohamed rishad (adorf)7. godian mapango.8. ally katolila 9.peter tino 10.mohamedi yahaya (tostao) 11.ibrahim kiswabi ktk benchi wapo dotto ruta mokili.hussein ngulungu.idd msaka.saad mateo.abdallah burhani,juma bomba.shehani abdallah. Michu upo hapooooo.

    ReplyDelete
  5. Bila kumsahau Moshi Majungu

    ReplyDelete
  6. michuzi tutumie picha ya Pani vs Vita ya Zaire, Sheikh Amri Abeid Arusha. Picha hiyo ina wachezaji Jella Mtagwa na Leodgar Tenga wakimzingira mshambuliaji Lofombo[kipara] wa vita ya Zaire.
    matokeo yalikuwa Pani 2- vita 1.

    ReplyDelete
  7. michuzi upo sasa pan ilikua kama hivi kama nyinyi wingi zenu zinatumia nguvu basi na pan unapewa mabeki wa kutumia nguvu ni kama hiviubavu anapewa john faya na ubavu anapewa saad mateona kama wingi zenu zinatumia akili basi ubavu anapewa mkweche na ubavu anapewa jafari na kama timu yenu mabeki wanatumia nguvu basi wingi anapewa juma burhani na wingi katolilana na kama mabeki wanatumia akili basi wingi anapewa mapango na wingi anapewa kiswabi mpaka hapo nafikiria umenielewa na hao wachezeshaji wa duara la kati wala usiseme

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...