katika zama hizi za biashara huria na ushindani makampuni yanafanya kampeni kabambe za promosheni kuvutia wateja. hapa ni mambo ya heineken katika baa maarufu ya meeda mwenge jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. TBL makaburu wanapandisha bei ya beer kila siku, tugomeni kunywa jamani tuone watalipana nini mwisho wa mwezi

    ReplyDelete
  2. jamani henken sio ya tbl,inatoka uholanzi.kukuluka wanangu!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...