jah kimbute akiongoza kundi lake la roots and kulture enzi hizo. mwenye nyeupe na bakora mkononi na mvi kishwani ni david manju ambaye sasa ni fundi hodari wa nguo za kiafrika. hivi sasa bendi hii imekula pozi na jah k anafanya biashara na ukulima huko tanga (leo nimeambiwa yuko dar kikazi) na wanamuziki wengine wametapakaa kwenye bendi mbalimbali. roots and kulture itakumbukwa kwa umahiri wake wa kupiga muziki wa reggae..
.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Do nakumbuka vibao kama KITUMBUA CHANGU UPANDE MMOJA KIMEUNGUA..

    Eti ni kweli kaka Michuzi kwamba Manju alikuwa anatishia sana katika fani kiasi kwamba Jah Kimbute akawa anaona wivu, hasa ugomvi ulianza walipokwenda Jamaica, na Manju akaonekana nyota zaidi ya Kimbute. Pia eti ndo chanzo cha bendi kusambaratika?

    Manju kwa sasa ni Mbunifu wa mitindo mahiri sana nchini, nadhani kwa mtazamo wangu, he is the best so far, ingawa rafiki yangu Hasanali akinisikia ataninyima tenda za designing. haha haha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...