mbongo samson ramadhani jana kaibuka kidedea kwenye mchuano wa mbio za marathon za beppu-oita mainichi huko japan. kwa habari zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hongera sana Samson Ramadhni kwa kuendelea kuipeperusha bendera ya nchi yetu kwa kasi kubwa.

    ReplyDelete
  2. Hongera Kijana Samson! Usibweteke tu na huo ushindi. Endeleza hizo juhudi.

    ReplyDelete
  3. Sawasawa Samson!Hongera sana.lazima tuwe na maamuzi ya kujituma wenyewe wabongo.Mi naikubali sana juhudi na mafanikio ya Samson,hii sio mara ya kwanza kututoa Wat TZ kidedea.Wanariadha wengine mjitume,sio kulalama serikali serikali!mkipata mihela itawasaidia nyie na familia zenu!
    Hongera samson

    ReplyDelete
  4. I liked your blog it is so proffesional nice picture with detailed explanations under neath. keep it up it is so helpfull for tanzanian especially those over seas so keep it up mzee you are keeping us updated.

    ReplyDelete
  5. Pongezi sana Samson Ramadhani kwa ushindi wako huko Japan. Usibweteke, Kaza buti.

    Shukran michuzi kwa kutuletea habari hii. Nawaomba sana wana-blog wenzaku mtembelee hiyo link ya IAAF aliyotoa michuzi.
    sehem ni piece ya hiyo article.

    "Tanzanians are no less talented compared to Kenyans and Ethiopians. They just did not have a long range (development) plan in the past. But it should be different for Ramadhani. The money he wins should not spoil him because he is a real good kid," said his agent Luis Posso.

    I hope akirudi home atapewa mapokezi mazito na ya kishujaa.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana na wewe ndio inatutakangazia nchi yetu nzuri TANZANIA. TRA au JK tunaomba Samson asamehewe ushuri arejeapo nyumbani.

    ReplyDelete
  7. Welldone Samson

    ReplyDelete
  8. Tunaelemishana “through very constructive” vitendo.

    Kiingereza hapo juu kinayumba:

    I liked your blog it is so proffesional nice picture with detailed explanations under neath. keep it up it is so helpfull for tanzanian especially those over seas so keep it up mzee you are keeping us updated.

    Kiingereza safi (only to give two examples):

    I like your blog; it is very professional! It has nice pictures with detailed captions. Keep it up! It is helpful for Tanzanians, especially those overseas. Mzee, you are keeping us updated.

    Au

    I like your blog. It is both professional and has nice pictures with detailed captions. What you do is very helpful for Tanzanians, especially those overseas. So, keep it up, Mzee, you are keeping us updated.

    ReplyDelete
  9. Kaka Miye..Naomba pia ukatoe critics kama za hapo juu kwa watu wa magazine inayojiita Bang!.Kiingereza chao mafungu mafungu, panctuation ndio hivyo hivyo..Jitolee uwe editor wa kuvolunteer..I like it, mimi ni editor pia!

    ReplyDelete
  10. Sasa umebadilisha nini wewe Kaka Miye.Its still the same words exactly with only minor differences which everybody can mistaken.Like instead of saying Tanzanians,he/she used tanzanian and didn't put the word overseas together.These are common mistakes.

    watu wengine kwa kujifanya walimu bwana!!!

    ReplyDelete
  11. Jamani watanzania tuendelee mnanikera! Kaka miye, kasema vizuri sio vibaya kusahihisha ndoo kujifunza huko mnataka nini? kila kitu mnatafuta ubaya wake kwanu kuwa mwalimu ni vibaya maisha ni shule tuanjifunza kila siku sio lazima iwe darasani tu wee anon?!

    Mungu ibariki Tanzania, Viongozi na hasa hasa saana watu wake!!!
    Aurely

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...