Home
Unlabelled
shaq
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii hummer usipime kabisa maana zipo hummer nyingi lakini hii ni special na nilisoma gazeti moja ni kwamba shaquile aliomba atengenezewe hummer yake special maana alitaka kuongeza baadhi ya vitu kwahiyo hiyo hummer imetengenezwa kwa special order kwa ajili ya shaq na ndio maana hata bei yake imefikia kiasi hicho kwa hela za kibongo hilo gari lina thamani ya shilingi 732,780,000/=(Milioni mia saba)hii ni balaa braza michuzi hizo hela unaweza kujenga hata shule 40 lakini ndio hivyo wenzetu hela ipo halafu wametofautiana na michael jordan kidogo kwenye bei ya hizo gari kwanza ukiingalia gari yenyewe utafikir air force one hela bwana inaongea
ReplyDelete