Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
spika mfukuzwa sio mstaafu maana alikatata kustaafu mpaka akapata vikura vichache,akaanza kulia eti kasi mpya inatumiwa vibaya kwani wazee kama yeye wanaonewa
ReplyDeleteHuyo mrefu nyuma mwenye suti ni miongoni mwa vijana wanaoenda na kasi mpya hari mpya(Mkurugenzi wa Victoria Expedition safaris ya A.Town)Kijana amejipanga mno sio masihara.
ReplyDeleteBig up Samwel bro. umejipanga sio masihara.
ReplyDeletesi mpaka astaahafu alitolewa nduki babake, mcheki alivyochoka..kama ana mawazo basi akawasaidie pundamilia na twiga huko ngorongoro hana lolote
ReplyDeleteKaka Michuzi, Pius Msekwa hakustaafu, kama sikosei alitangaza kustaafu, lakini baadaye aliamwua kugombea tena, ndipo kura za maoni zilmweka DOWN.
ReplyDeleteBadilisha lugha kwenye laptop yako. Utatuandikia kihindi mpaka lini?
ReplyDeleteduh kweli mbuzi wa masikini hazai. Huyu mzee ndiyo yuko ngorongoro siku hizi kuendeleza ukiritimba? haya bwana....
ReplyDeleteHii ni sababu mojawapo hatuendelei tanzania na Africa kwa ujumla. Wazee wanang'ang'ania uongozi hata kama wamechoka kama huyu (Msekwa) na wakina kingunge. Inatakiwa wakae pembeni na watoe ushauri watakapo ombwa. kama vipi wafanye biashara zao wenyewe kwani pesa waliotuibiwa wakiwa madarakani tunajuwa ni nyingi saaaaaaaaana.
ReplyDeleteJamani hii kitu nimetumiwa na mshkaji mmoja--ametoa kwenye jambo forum----nilidhani ni mimi tu niliokuwa najiuliza hili swali--
ReplyDeleteAmakweli wajinga ndio waliwao, Hivi ni kwa nini rais anapokelewa na waziri mkuu pamoja na viongozi wengi wa serikali kila anaporejea Dar Es Salaam kutoka Arusha, Dodoma, Mwanza, Tanga, Singida, Tabora, Lindi, Mtwara, Zanzibar, Bagamoyo na kwingineko kokote kule ilimradi pesa ya walalahoi inatumika vibaya katika mafuta na malipo kwa viongozi ambao hawakai ofisini kufanya kazi na kuongeza msongamano barabarani na kuendelea kuongeza CO2 kwenye jiji la Dar, na usalama wa viongozi wenyewe kuwa hatarini.
Tunawaomba wabunge waweze kupitisha sheria kurekebisha hili kwani hizi ni pesa za walalahoi ambazo wanachezea bila sababu yoyote ya msingi. Ni shule ngapi zingepewa hii pesa kununulia vitabu? Ni hospitali ngapi zingepewa uwezo kutatua matatizo yao. TUNAWAOMBA VIONGOZI KUFANYA KAZI SIO KUZURURA BILA SABABU YEYOTE - MAPOKEZI YAMEZIDI NA KAMPENI ZIMEISHA FANYENI KAZI ILE MLIYOCHAGULIWA KUFANYA.
__________________
Dua la kuku halimpati mwewe
Anaporomoka huyo mwisho atakuwa Diwani hiyo ndio CCM bwana,alitesa sana wapinzani bungeni.
ReplyDeleteMichu I know that english is not reachable on your side, but I think it will be a good idea to imitate watani wetu wa jadi ili kuwaweka sawa wabunge wetu ambao wanasinzia tu na kuota denda bungeni wakati nchi inaendelea kuuzwa. On top of that our wabunge are being paid millions but we don't have any evidence how do they benefit our beloved country.
ReplyDelete~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
The web watchdog biting Kenya's MPs
By Andrew Heavens
BBC Focus On Africa magazine
Okolloh has forced Kenya's MPs to address the blogging community
It all got too much for Ory Okolloh when Kenya's members of parliament voted to give themselves a sizable pay rise in 2003, soon after the last national elections.
"They were getting all this money - but we had no idea what they were doing to earn that money," said the 30-year-old lawyer and member of Kenya's burgeoning blogging scene.
"Parliament is not televised. The newspapers do a lousy job of covering it. We had no idea of what was going on in our own parliament."
So she decided to do something about it. She contacted fellow Kenyan blogger M, the mysterious man behind tHiNkEr'S rOoM, and in a matter of four months they had launched a groundbreaking new website.
Called Mzalendo - the Kiswahili word for patriot - its sub-title is "Eye On Kenyan Parliament"
Mzalendo sets out to do nothing less than keep track of every bill, every speech and every MP that passes through Kenya's 1950s-style parliament house. No mean feat for two volunteers with full-time jobs, websites of their own to maintain and little to no start-up capital.
Eyewitness accounts
The site breaks new ground in the continent's political world - nothing else like it exists even in more established democratic countries like South Africa.
Part blog, part massive open database, its closest cousin is the UK website They Work For You, which keeps its own eye on the UK parliamentary system.
Mzandelo is based on open-source software
Ory and M used the same free software that powered their blogs to power Mzalendo - the publishing system WordPress.
Everything else, from the database down, was also free and open-source, all bolted together through M's technical skills.
It was only when they started trying to find information to put on the site that they discovered just how difficult it is to keep an eye on the Kenyan parliament.
"If you are in the public gallery without a press pass, you're not allowed to carry writing materials," Ory says.
"They search you, and take them off you. So if we want to report on a day in parliament, we have to do it from memory."
Their priority was to get hold of as much parliamentary information as possible - MPs' names and constituencies, standing orders, bills, debate transcripts - and laboriously enter it all into their database.
Volunteer bloggers and freelance journalists started adding eyewitness accounts of debates.
Then they set up a commenting system, allowing anyone to have their say about MPs, their record and any particularly hot topics of the day.
Joining in
Surprisingly, most of the people who log on to Mzalendo - currently more than 200 a day - come from rural areas.
"People are less likely to vote for someone because they are in the same tribe these days," Ory says.
"They want to know about their MP's record. People have been asking, 'What's my MP doing about this? Where's the money for the Constituency Development Fund?'"
And slowly, the MPs themselves have started joining in, emailing in to correct their profiles, answering constituents' questions and joining in the online debate.
"If you are a citizen who wants to change something, we've proved that there are lots of tools out there - the internet, the free software - to give you the power to do that," Ory says.
"Our ultimate hope is that we will encourage other people to express their frustration. Not necessarily through this website. But maybe Mzalendo will inspire them to do other things."
Tatizo la JAMBOFORUMS.COM kumejaa ma CRITICS...nasikia hata JK halali bila kupitia kusoma jinsi gani ari mpya wanavyo pelekwa puta
ReplyDeleteHuyo MSEKWA kashazeeka lakini bado tuuu...hiii ni aibu
Huyo jamaa manesema kajipanga nadhani kwanza angacha kuvaa suti za Sunday Market ,akanunue suti yenye kumkaa na siyo kumpwaya na susi si ghali hivyo basi tuu unless ni mbahili
Huyu mzee siyo mtu wa kawaida, kwa taarifa ya wapondaji hapo juu. Hivi mnafahamu kwamba katiba ya Tanzania aliiandika yeye mwenyewe. Mpeni mvunjiko jamani.
ReplyDeleteHalafu kwani ni wangapi kati yenu mmeshawahi kushika wadhifa kama wake. Au ndiyo yale ya simba aliyelowa akafananishwa na nyau?
kwani hiyo katiba aliandika peke yake? na hata kama aliandika pekeyake so what? hiyo ilikuwa kazi yake na alishallipwa
ReplyDeleteits time to move on