Home
Unlabelled
ndinga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anakudanganya huyo so called mkerewe lol..that clk aint worth 90mil...from 8000pounds unapata kama hiyo aka 17mil..mwambie juma nature if its true anataka kununua asidanganyike..benz ya zamani hiyo. For 90mil anaweza kupata the new 2006 clk.
ReplyDeleteanon 7:23
ReplyDeleteHiyo unasema wewe itakuwa imekwisha lipiwa ushuru---
2. Michuzi unawadanganya hao ma-super star wabongo, hawawezi kushindana na watu wanao vuna dolla au pound. Wenzao wakati wanaendesha hayo magari ulioweka hapo Michuzi--ni kwamba they have other investments that are worth more than that---na kipato chao bado kipo guaranteed for a certain period of time-je is that the same case kwa wakina Juma bongo?---Michael J. hana gari-kama analo basi ni moja--but does anybody know how much he is worth---does anybody know his investments---Juma ukipiga akili sawa, hizo 90 unaweza invest sehemu ambapo utakula hadi kufa.
KJ-204
Nature usiwe na haraka Hiyo ndiga ya zamani sana achana nayo sema tukupe web site uchungulie ndiga za Ujerumaniii hiyo hapa Ujerumani ni EUR 5000 weka na takataka zote za kusafirisha lipa 7000 EUR unasukuma ndiga kali sana achana na matapeliiii hao
ReplyDeletemichuzi na wewe unaweza kuamini hilo benz linagharimu million90,steve wonder mwenyewe hanunui kwa bei hiyo,mchanga wa macho huo.
ReplyDeletepleeease! ana nyumba huyo juma?au peer pressure za kijinga? atalala kny hiyo merc? waasanii wetu wanahitaji washauri wa mambo ya fedha. juma nature mugambo is among my fav songs, don't dissapoint me. hiyo ni rip off my dearie
ReplyDeletejamani nyie wabongoo,
ReplyDeletehivi huyo juma atainya wapi milioni 90? hahaha nyie mnachekesha sana. inaelekea juma aliota alipoamka asubuhi kabla hajaamka freshi kutoka ndotoni kamtwangia simu michuzi kumpa habari. nature akipata millioni 90 basi mi narudi bongo kuimba bongo flava, lol
Mwambie asichacharike kwa ajili ya watu. Don't live beyond your means. Kwanza watamwingiza mjini hiyo gari hai cost 90,000,000
ReplyDeletehaiwezekani hata kwa dawa huyu bw mdogo akawa na pesa kiasi hiki. huyu anon aliesema hizo pesa atakunya wapi ni kweli kabisa. Ninachohisi mimi ni kwamba bw Michuzi ametype harakaharaka (typo) na alikuwa anamaanisha kusema mil 9 za madafu na sio 90. subutuuu mil 90 za bongo unazani mchezo. wenyewe mnaona hata mavazi ya hawa vijana yalivyo ya myeyusho. hawa mabwana wana safari ndefu kufikia hizo mil 90, ila tunawatakia wote safari njema ya mafanikio. Michuzi acha kupakazia celebrities wetu hawajafikia hiyo bei.
ReplyDeleteMimi siinglii mambo haya kama kawaida yangu, lakini Sir Nature nununa kiwanja ujenge nyumba ya maana basi, hilo gari 90,000,000 utapaki wapi utaendesha wapi, dala dala ikikupa bodi insurance itakulipa ??? mbona Sir Issa Michuzi unaanzisha zogoo...???
ReplyDeleteJamani mi nadhani swala nikushauri huyu dogo hiyo 90mil/= kama ataipata kweli basi afanyie kweli (invest)Nunuwa rights za bongo Flavor weka ndani--baadae unakusanya cha juu---Jenga---nunuwa mashamba--weka hati ndani--nunuwa hisa--weka hati ndani--buy shit worth stuff---turudi kwa michael, kimoja alichokifanya ni alinunuwa rights za baadhi ya nyimbo za The Beatles.
ReplyDeleteHayo mambo ya kusema atazinya wapi hizo pesa, hiyo ni dharau-tusidharau watu. Kuna watu wanatengeza chapaa bongo kuliko sisi tunaebeba mabox huku juu tena kuilaini.
Do not judge people by the way they dress, Bob alikuwa anavaaje? na value yake je, Eddy Van Hellen anvaa Jeans na T-shirts tu, Keith Richard---Michael, suruali yake ileile nyeusi kila siku. Marketing manager wa Rothmans' Africa kila siku Jeans---lakini ni marketing manager wa Rothmans' Africa nzima (at the time). Most of all Russel Simmons anavaa vipi--simple sana lakini how much is he worth?--Madogo huko wanaangalia MTV ukijumlisha na hizo picha Michuzi anazo wawekea--nao wanataka kuonyesha, "This is how I'm living," kama wanugu wa huku wakipata kidogo basi rims,bling bling kibao na cribs----wenye akili hawafanyi hivyo---Rudi kwa wakina Russel Simmons na watu kama Dr. Dre hawana makelele lakini vitu vyao vinaonekana----Michuzi usiwapoteze madogo watakuja jilaumu--ni wachache sana wanao dumu ktk hiyo fani kwa muda mrefu.
Mi naomba kazi hiyo niwe investmanager wako--we unaetaka kununuwa hako ka benzi kwa mil90/=
KJ-204
Mhhhh msinifanye nichele kwanza hiyo benz ya milioni 90 kama ndiyo hiyo kwanza nimpe pole huyo anayeiuza anafikiri wabongo wote na wajinga asitufanye sisi mapunguwani kama vile hatujui bei za magari benz gani ya milioni 90 hiyo na je mecredes benz 5 serie au S CLASS utasema shilingi ngapi atutolee ujinga wake kama ni milioni 9 sawa milioni 90 athubutu hapo hamna benzi ya bei hiyo hata milioni 25 haifiki kwanza gari yenyewe nimeishaiona town mara kibao juma usinunue atakuuzia imeisha choka bora uagize mwenyewe kutoka german safi kabisa.
ReplyDeleteMliokuwa mnataka kujua kama juma nature ana nyumba jibu ni kwamba anayo nyumba amaejenga nafikir iko mbagala
mmm jamani, mbona tumefikia hatua ya kudharauliana kiasi hiki? kwa wewe anon uliyesema eti Nature "atazinya wapi pesa" hii ni dharau isiyo kificho, kwani ni lazima kipato cha mtu kipatikane kwa kazi anayofanya tuuu? vile we upo huko majuu, basi unaona wengine hawana vitegauchumi kama wewe ulioona kwenda huko ni kitega uchumi chako? kuna tanzanite huku kumbuka, anaweza kuimba na akafanya biashara ya madini pia, ama nyingine, hiyo mill 90, usihoji kapata wapi, cha msingi kumshauri kama gari zinapatikana bora zaidi ya hiyo hapo wapi na ataipataje kiurahisi na bei nafuu.
ReplyDeleteushauri wangu kwa wasanii, si lazima sana kununua kitu kimoja cha thamani sana na kikagharimu vingine, je ukinunua gari la bei ya juu sana, litakusaidiaje katika maisha kama huna mahitaji ya lazima na bora ktk maisha, uwiano uwepo na ukizingatia faida pia, labda uwe na vitega uchumi, nyumba nzuri ya kuishi, na vingine unavyoona vinakusaidia maisha yaende kuliko kujinyima na kugharamikia kitu kimoja tu cha thamani na hali vingine huna, ukiwa na vitega uchumi vingi, vitakusaidia hata kulihudimia hilo gari kwa urahisi.
yule dada aliyevaa black ana haraka huyo!
ReplyDeleteMwenye pesa zake, mwacheni afanye anachokitaka. Kwani nyie mnamwamshaga asubuhi ili aende kazini? Na mke pia mtamchagulia? Mnajua raha ya roho upatapo kile utakacho? Mie ningemshauri: 1. atafute RHD kwani mie napinga hizi LHD. 2.Atulie na kuchunguza juu ya bei,(hiyo 90mil ni bei za pantoni za wana 10% ili nao wajenge) kama ana jiamini aagize toka nje (most likely from UK) kwani Germany wanatumia LHS.Hata kwa ushuru na CIF 12mil nadhani zinatosha). Sijui Insurance za bongo, nchi nyingi unalipia insurance kutokana na bei ya mali insured.
ReplyDeleteKwa wenye wivu: Roda inabidi uilipie: ABS, 4 or 6 SRS, SIPS etc etc. Inzi kufia kidondani....Na bongo kuna magari bei mbaya zaidi (eg H2) wao wanapaki wapi? By the way, spending inaweza ikawa changanyiko la kutafuta zaidi...Blackmpingo
Michuzi na we achaga ujinga kuwa realistic sio kila unachopewa na we unatoa tu unaishusha hadhi Blogu yako chambua vya kuweka unawaabudu sana hao washenzi wa Ukerewe kwako.
ReplyDeletemwambie huyo necha naye amjenge mama yake mzazi kwanza.
Hii Benz imechoka kinoma tope kila kona..sinunui hata kwa milioni moja..
ReplyDeletehivi nyie mnapoteza muda kujadili masuala ya sir Nature na hiyo benzi. Michuzi kawaingiza mjini tu hapo, hakuna cha juma nature kununua benzi wala nini. Anawapima fikira zenu tu
ReplyDeletewabongo hakuna hela kwenye bongo flava, nature amejikuna mkono unapofikia ndo kanunua ile pantoni yake, hii hapo juu ni ndoto kwake hata kwa milioni 9.
ReplyDeleteanon hapo juu kaongea Russel Simmons kuvaa simple. Dont look at how the dress look like fatilia bei Russell Simmons havai simple hata siku moja He mostly dress Italian expensive casual, we unaangalia tu suruali ya kitambaa na shati lisilokuwa najina ulilozizoea unaona simple fatilia bei ndo uje uongee. ungesema Chris Rock hana makuu ningekuelewa lakini still havai cheap labda utakuwa bado uko bongo wewe unabahatisha mtv mara moja moja
HUYO MTU WA UKEREWE ATOKE HUKO NI MUONGO HIYO GARI SIYO MIL 90/- MWAMBIE NATURE ATEMBELEE TOVOTI ILI AJIONEE MWENYEWE KWANI AT DISCOVERY NI KAMA $ 1,900 www.japanvehicle.com, www.ridhaa.com, www.japanesevehicles.com mimi nemenunua magari tana kwa ku-finance if u know what i mean
ReplyDeleteTuwekee na gari za wasanii wengine,mfano Jeep ya feruzi
ReplyDeleteAnon 6:43PM
ReplyDeleteHujanielewa, nilikuwa namaanisha kuwa these people niliowataja, they do not put as much effort into what they wear ukilinganisha na watu wengine wenye hadhi na pesa kama walionayo wao.
Nitarudia tena, usimdharau mtu. It does not matter where you are or what you have, bali how you use it. Unasema mimi bado nipo bongo, ndio uenda nipo bongo, lakini ni nyumbani kwangu. We mwenzagu upo wapi, unafanya nini hapo ulipo--na hicho unachokifanya utakifanya kwa muda gani kabla hujavuka kwenda hatu nyingine---it could be your are living from pay check to paycheck na bado unanisema mimi ati nipo bongo---lakini I could be your next door neighbour you never know---usidharau mtu---kuwa hapo ulipo au hapa nilipo sio hoja. Hoja nikwamba tunafanya nini hapa tulipo-----
KJ-204
Huyo anayesema tunapoteza mda kujadili mambo ya huyu nature angejua tu.
ReplyDeleteWewe ukienda kijueni kwako baada ya kazi unawaza lipi la kujadili?
Ungejua tu...for most of us we are doing this just for fun. Hata wengine waulize jana alisema nini huku hawakumbuki.
This is just a past time thing for us. Kumbukeni hi ni kijueni kwetu...
Tukiwa board kazini tunaflip michuzi anasema nini. Kulivyo na baridi hamna hata mahali tutaweza kukusanyika tuanze kuzogoa na tena ukizingatia wengine ni lazima kuendesha zaidi ya masaa mawili kumpata mbongo huku tuliko.
Wewe Michuzi keep it up. Unatupa company sana kwasababu hizi 9 to 5 jobs saa nyingine zinatulaza tu na tunahitaji this a lot. Especially on Fridays
Usiwasikilize wa kaanga buyu.
I am sure Juma Nature is a grown up man and he has the right to do or buy whatever he wants. Sidhani kuwa atakuja kusoma huku ili aweke final decision yake ya kununua hilo li benzi. If he can afford it why not.....Go for it...hata kama hana nyumba...Ipe roho kitu ipendayo.
Wangapi wanaishi kwenye appartment huku na bado wanaendesha very expensive cars na wanapark kwenye street not even a parking lot.
SIMPLE MINDS DISCUSS PEOPLE
ReplyDeleteORDINARY MINDS DISCUSS EVENTS
GREAT MINDS DISCUSS IDEAS
Kila aliyechangia ajiulize yuko katika kundi gani.
Braza Michuzi mimi nitasema haya maneno yafuatayo
ReplyDeleteTHINK LIKE A MAN OF ACTION ACT LIKE A MAN OF THOUGHTS.
WHEN YOU GIVE ADVICE REMEMBER SOCRATES WAS A GREEK PHILOSOPHER WHO WENT AROUND GIVING ADVICE.THEY POISONED HIM.
THE BIGGEST MISTAKE YOU CAN MAKE IS TO ALWAYS AFRAID OF MAKING ONE.
A WISE MAN MAKES HIS OWN DECISION AN IGNORANT MAN FOLLOWS PUBLIC OPINION.
I hope people understand what i am talking about if not crack your brains...
we anon Friday, March 30, 2007 9:41:00 PM, huna point kakojoe ukalale unakuja uongo eti na Russell Simmons anavaa simple? Superstar wa unyamwezini ukivaa anything cheap unaanikwa na vyombo vya habari. kama mtoto wa John Kerry alivaa gauni la dola 70 lilimpendeza lakini alianikwa. FYI Shati za Russell Simmons are Classic Golfing gears bila $500 hujavaa shati, Him and his EX Kimona they dress expensive usije na uwongo wako hapa we watch this everyday sio kama we unasubiria mpaka tuwatumie mikanda itv ndo uone. anyways siwezi kuishi karibu na wewe sina mpango wa kuishi bongo tena and you cant be my neighbour otherwise i will sell my house and move somewhere else
ReplyDeleteHey Isack - US aheri ya simple mind person who discuss something than that of an observers I rather be a participant than a spectator. Spectators always go with the wind and always say proudly “I never vote and keep complain or blame the Govt”.
ReplyDeleteSpeak out your mind no matter how you feel but try to be positive all the time. Your opinion might help someone or somewhere along the road.