huyu ni msanii wabogojo akifanya vitu vyake. onyo: usiige tafadhali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. umenikumbusha mbali sana, huyu jamaa kwenye harusi moja aliniacha hoi pale alipopita kwenye ring ya ''kuchezea tenis'' kama snake vile

    ReplyDelete
  2. hahaha huyu jamaa alitambilishwa kwa watu na video ya Mr Nice hebu Michuzi wawekee watu toka You Tube wajikumbushe kaka. Jamaa kibiko ila unatakiwa uandike juuu hapo usiige maana mhhh!!!!

    ReplyDelete
  3. na nilijua 2 kama jamaa ipo cku atakuja kuwa hivyi... usaniii jamaa kauwanza mbali kweli nakumbuka tupo school form 2 jamaa alikuwa mshangiliaji wetu mzuri kweli wa mpila.. alikuwa anaonesha mbwembwe zake uwanjani mpaka masenior wakawa wanammindi kweli.. upo wapi now athuman ford? HUSSEIN hapa tuwasiliane through ths # +919880796212 or mail saphyboy86@ for both yahoo n hotmail.. keep in touch

    ReplyDelete
  4. such people are creepy..kujinyonga kama nyoka ndio nini?

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...