Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa wazee wa mujini wanatisha kweli sio mchezo. Sasa hivi twanga wanaulizana kwani ukienda show yao ndio utagundua. Sio kama twanga wacheza show pekee ndio wanaoonyesha mavituz bali hawa kina mwanamuziki anashambilia jukwaa. Mzee masudi tupe picha zao vizuri na vipi ile album yao mpya washaanza kuuza video? kwani huku ughaibini tuna hamu nayo.

    ReplyDelete
  2. wako juu wako juu hao!tunasubiri dvd kwa hamu!wamewafunika twanga kwa kwenda mbele!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...