
haya ndo baadhi ya vituz ndani ya 8020fashions.......kwa habari zaidi bofya http://www.8020fashions.blogspot.com/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
eheee eheee eheeee naona braza michu full support kwa mama no comments
ReplyDeletePOA MICHUZI NAONA HATA SISI TULIO HUKU SHANGHAI(SHINYANGA)TUNAPATA MAVITUZ KAMA HAYA.JE UTAKATIZA HUKU KATIKA ZIARA YAKO AU UTAISHIA MINNESOTA TU?
ReplyDeleteHaya mavazi ni mazuri ila sasa kinachosikitisha siku hizi ni kuwa katika fashion huoni mambo mengi ya kitamaduni na mavazi mengine elegant na yenye heshma kama kaftans, long tops, headscarves etc. siku hizi fashion nyingi zaidi ni Western, a bit sad and boring that everyone is wearing the same things and feels like they have to conform.....
ReplyDeletekinachosikitisha nguo ni nzuri kama zimgekuwa za ukweli nimetoka bongo two weeks ago wachina wamewaharibu tena kaeni mbali na moto nguo za hovyoo material mbovuu sana tuanzeni kuvaa vitu vya kweli tuachane na wachina jamani
ReplyDelete