
amabilis batamula, mhariri mkuu wa jarida la femina (sasa laitwa fema) akijidai na cheti chake cha shukurani kwa kuwa jaji mkuu wa tuzo za waandishi bora wa sanaa na utamaduni kwa mwaka 2006 leo. huyu dada ni kichwa na alitupelekesha sana pale tsj alumni ya 1994-96 ambapo aliibuka mwanafunzi bora (mie wa pili) kwa kila kitu


Michu hebu idadi ya wanafunzi darasani mlikuwa wangapi?, maana isije kuwa mlikuwa wanafunzi watatu, maana kipindi hicho watu kusoma vyuo vya habari na elimu hawakuona kama ni dili ukilinganisha na sasa.
ReplyDeletecute gurl
ReplyDeletemichu nasikia ndo ilikuwa ngoma yako at tha time mlivyokuwa ckul
ReplyDeleteDUH1 WABONGO KWA MADONGO YASIYO NA MPANGO KWELI AIBU. UNAMAANISHA UNAPODAI KWAMBA AMABILIS BATAMULA ALIKUWA NA MICHUZI. BORA UNGEULIZA NDUGU YANGU KULIKO KUROPOKA.
ReplyDeleteKWA TAARIFA YAKO NGOMA YAKE MWENYEWE MICHUZI PALE TSJ ALIONDOKA NAYO NA KUMUOA NADHANI ANAISHI NAYE MPAKA SASA. BATAMULA KIPINDI HICHO ALIKUWA BADO MSICHANA MDOGO SANA SASA HIVI NAONA KAJAZA KIASI CHAKE.
HAKUNA HAJA YA KUTOLEANA KASHFA KWENYE BLOG YAKE.MICHUZI AMEOA NA NADHANI ANA WATOTO ZAIDI YA WAWILI HIVI SASA KAMA SIKOSEI.
MIMI NADHANI MICHUZI BLOG YAKO UNGEKUWA UNA EDIT KILA KITU KAMA ILI KUPUNGUZA WAJINGA WAJINGA WACHACHE WASIOJUA MAANA YA BLOG NI NINI.
NAJUA HAWAWEZI KUVUNJA NDOA YAKO LAKINI WAJINGA WAJINGA USIWAPE NAFASI YA KUTOA COMMENTS ZAO. MAKE SURE ALL COMMENTS MUST BE EDITED BEFORE PUBLISHED. KAMA HUWEZI TOA HII PAGE YA COMMENTS NA WEKA PICHA ZA MATUKIO HUKO BONGO NA KWENGINEKO.