Home
Unlabelled
amin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi sina mbavu yaani nimecheka mpaka mbavu zinaniuma huyu jamaa alikuwa comedian kweli, pale anaposema,'crocidile open mouth so that the 'inzi' can 'nanii'.
ReplyDeleteDu kweli hii ni kumbukumbu nzuri japo ina sehemu zinamachungu hasa pale watu wanapopigwa risasi paliniuma sana, ila baadae nikajikuta nasahau kwa kucheka.
great stuff, nimecheka sana vituko vya amin.
ReplyDeletein a way, this guy was real tough, unlike viongozi wetu wa sasa kila kitu wanakubali kutoka kwa wazungu.
though, mwalimu nyerere alikuwa kiboko yake, nyerere peke yake aliweza kumdhibiti amin.
entertaining, educating and above all an eye opener.
M!!!, toka 2007 ianze sijacheka kama leo hasa pale anaposema, guinea fowls there at the edge of the 'ninii'
ReplyDeleteCrocodile open mouth so that the 'enzi' can enter the mouth
kweli hili nduli kweli kweli and you know i was very uncomfortable pale kweny cabinet meeting alipoanza kusema spy is criminal when we get you we'll get you to the shooting squad then akasema military tribunal ndio watapewa kesi ambao dont look at the law the whole day na yule foreign minister wake was very scared ambaye commentator alisema he was assasinated just after 3 days na kutupwa Nile...very stupid dictator na wazungu walikuwa wanalienjoy kweli kweli kama kuna dictator lolote Africa limebaki kama hili niambieni maana nitavolunteer kwenda kuilicharanga silaha myself...sawa na lile Abacha tuu,bora nyerer alilitimua maana waganda walikuwa scared sana all the time angalia nyimbo zote ni kulisifu lenyewe tuu na angalia wale medical student alivyouliza swali then akashtuka kutumia neno president kwa sio Amin unweza kufa na akasema i withdraw...ooooooh to much!
ReplyDeletePamoja na kwamba filamu hii imetengenezwa na watu ambao kwa uhakika wanaegemea upande mmoja, na sio upande wa Idi Amini,lakini Dada alikuwa anaonge baadhi ya mambo mengi ambayo Raisi wa Nchi yoyote hatakiwi kuongea.Sijui alikuwa anatoa wapi ukweli wake.
ReplyDeleteNdio maana waTZ walimpiga mpaka akakimbilia Saudia. Alikuwa mnyama kweli kweli. Alimtukana hata mzee wetu J.K. Nyerere. Kweli alikuwa mshenzi. Halafu anaongea broken english.
ReplyDeleteHii film ime nitoa mawazo potofu sana kuhusu Idi Amin. sikuzote nilikuwa nadhani Amin alikuwa pumbavu kumbe hapana.Ni kweli kabisa kama mtu kakamatwa akiwa anafanya ujasusi kwa nini kuhangaika na sheria ambazo tumeona watu wenye makosa wanaachiwa huru ...He was right. do not waste time playing with laws ..remeber, Amin was a soldier and not a politician..hii ndiyo dawa ya wakosefu..ukicheza sana na sheria utashutukia una ambiwa kwamba kawa jasusi bila kukusudia na ana achiwa huru,,,,
ReplyDeleteAsante Michuzi kwa hii film imenifanya nimheshimu sana Amin, Hasa nilipogundua kwamba Tanzania tulimchokoza Idi Amin kwa kuruhusu vikundi vya Obote kushambulia Uganda kutoka Tanzania....
Kwa kweli Michuzi kama ni zawadi ya Pasaka hii site ya leo ndio mwake kabisaa!! kwa hizo dakika 90 nilizokodolea macho hiyo picha sijaona kama nimepoteza muda bali nimeelimika Nilipokuwa mwanafunzi sikuwahi kupata elimu kama hii ya leo, maana tulikuwa tunaambiwa juu ya uuaji tu na roho chafu ya Amini. Kumbe jamaa lilikkuwa na point sometimes , kama ile ya Kuwagomea Wazungu kufuata ubepari au ujamaa. pia alikuwa anajiamini sana(confindence) na aliweza kum- challenge kiongozi yeyote duniani bila unafiki wala woga. Alaaa kumbe kuna tuvitu tuzuri tuchache twawezajifunza kwa NDULI... Jamaa kilichomponza inaelekea madarasa aliyoenda yalikuwa machache( umombo na uelewa wa mambo) pia huo udikteta lakini vinginevyo haaa si haba sana ukilinganisha na baadhi ya vihiyo tulionao TZ.
ReplyDeleteKama ni kucheka peke yangu ... kwa kweli leo mimejunja mbavu. Nikajiona nipo TZ MAYI MAZALENDI!!
nakubaliana na mtoa maoni wa 04:34:00 PM; kwamba Amin aliwahi kufanya mambo ya maana kuliko hata viongozi wetu wanaojifanya wameelimika.
ReplyDeletemfano Amin wakati wa utawala wake alisema Uganda lazima inunue majengo yake kwa ajili ya ofisi za ubalozi katika nchi mbali mbali duniani - zikiwemo Uingereza na Marekani.
wakati huo Tanzania na Kenya zilikuwa zikipanga, wakati mwingine kutimuliwa na wenye nyumba - landlords.
Amin alikuwa binadamu, alifanya madhambi kweli, lakini wadau nitajieni kiongozi ambaye hakuwa na madhambi.
tofauti ni madhambi ya wazi na madhambi ya kificho!!
Wajemeni, Kiingereza na madarasa pekee sio kigezo cha uongozi bora! mfano; Mzee Karume aliboresha maisha ya mzanzibari hivi sasa vizazi na vizazi vinafaidi matunda ya majumba ya maendeleo, TVZ (Tv ya kwanza ya rangi Afrika!), wakati huo huo Mugabe ana degree saba(7) wa-Zim cha moto wanakiona!!!, anyway, turudi kwa Idd Amin; Huyu jamaa alikuwa na Dira, pamoja na mapungufu yako speech yake ukiwa ni mng'amuzi na muelewa wa mambo, utaona alikuwa anasisitizia sana suala la viongozi kuwajibika! Tatizo letu waafrika mtu akishapata uongozi ndio anajiona kaukata, kitambi na nyumba ndogo ndio muhimu!!!
ReplyDeleteKwa kweli nakuunga mkono ndugu Mwaki hapo juu,kama kiongozi yoyote duniani alikuwa namema na mabaya, kilicho muangusha zaidi ni kuwaponda waingereza, na mwengereza ikimponda umejimaliza mwenyewe, kizaramo tunaita umejitotola, lakini namfangilia Amini alikuwa hapendiwazungu wanavyo tunyonya,aliwachukia na kujivunia weusi wake, pumzika vizuri mzee Amin dada
ReplyDeletekuna sehemu jamaa anazungumzia mafunzo ya kujitoa mhanga? ina maana plan zilianza tangu enzi zile na leo tunaona matokeo?!
ReplyDeleteAmin alikua sio mtu mbaya ila the west kutokana na mambo ya maslahi yao kutotimizwa basi wakalete uzushi eti ni mnyama and then alikua anapingana na kanisa kitu ambacho kwa kweli hata mimi nakubaliana.kanisa limechangia sana mambo ya utumwa(slavery)na J.K(Teacher)alipataga nafasi yake kwa sababu aliunga mkono mambo ya kanisa ndiyo maana wakamsaidia to be who he was.
ReplyDeleteBig up Amini Nduli Dada.
Nina DVD ya movie hii. Niliipata mwaka 1998 na nimeiweka kama kumbukumbuku kubwa sana kwa vile nafahamu jisni huyu jamaa alivyotuchachafya na kutufanya tujifunze jinsi ya kuchimba mahandaki.
ReplyDeleteAlinifurahisha sana kwa kuongea kiingereza cha kulazimisha akichanganya na kiswahili.
majina yake kamili ilikuwa kama ifuatavyo: His Excellency Al-Hadji Field Marshal Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE, Life President of the Republic of Uganda, Conqurer of the British Empire and Professor of Geography.
Waandishi wa habari walitakiwa watamke titles zote kamili bila kuacha hata moja.
wanaomsifia idd amini wote wana akili kama yake mtu gani ansema ataongoza nchi kwa jinsi anavyofikiria watu wake watawaliwe? kwa kila kitu atakachotaka yeye wananchi wafanyiwe na si wananchi wanataka nini wafanyiwe yaani kweli kweli jamaa alikuwa kichwani hamna kitu kabisa anaongea utemi tuuuu ndio unaomwongoza mshenzi mkubwa bora alitimuliwa na zaidi ya yote ametutoka watu kama hao adhabu yao ni kifo tuuu etiiii ohhooo nikiota hivi kinakuwa kama nilivyoota jinga kabisaa je liliota kwamba nyerere aliyemwita mwanamke atamshinda vita na na kuuita mwisho wake wa utawala??? mbonma hilo hakuota PAMBAF KABISAA JEUSIIII KAA MPINGO BAYAAA kumradhi kwa mnaofanana naye.
ReplyDeleteTabia ya kuchekeana chekeana na kuoneana haya bongo ndio inatulostisha. Unatakiwa uwe ka Amin. Nchi za ulaya ambazo zinaitwa nchi zilizoendelea miaka hiyo wkt wanatafuta hayo maendeleo kulikuwa hakuna kuchekeana. Ma-king kibao walinyongwa, mfano ni nchi za Scandinavia. Mi namfagilia Amin. Hayo mambo mengine sijui english, sijui nini, sio kipimo cha uongozi. Kwani angeamua kuongea hata kiswahili tu na ingekuwa poa. Mbona CHIRAQ au SHIZO ABE wanaongea lugha zao na maendeleo yanaoneka. Mtoa maoni wa juu naona unapenda sura nzuri...tuna mashaka na wewe!!!!!!
ReplyDeleteAmin oyeeeeeee
Namnukuu Annoy wa Sat, April 07,2007 8:15:00 AM, "wanaomsifia iddi amin wote wana akili kama yake mtu gani ansema ataongoza nchi kwa jinsi anavyofikiria watu wake watawaliwe?..." , Swali langu kwako; maishani mwako hujawahi tamka "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM", au unadhani kufikiria sio fikra? Kila kiongozi anaongoza nchi kwa fikra anazodhani ni bora kwa wananchi anaowaongoza, bahati mbaya Kila binadamu ana mapungufu yake, wachangiaji tulomsifia Amin tumemsifia mazuri yake, mabaya yake tumemuachia yeye na Mw'mungu wake.
ReplyDeleteAsante sana kwa hii linki. Kwa kweli ni picha nyingine ya Amin. Loh, alikuwa na English mbovu.
ReplyDelete