Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Duh, Kipanya nimekubali...ujumbe umefika.

    ReplyDelete
  2. Masoud

    Nimekuinulia mikono kaka, this is an amazing cartoon I ever seen. Ha ha ha ha ha , mtu mwenyewe anayedanadana, yaani shida tupu.

    We really missed all your creativity man.

    MIM big up , endelea kutupa mavitu, naona KP kweli karudi kutoka ughaibuni na mawazo mapya.

    Ni hayo tu

    ReplyDelete
  3. mi sijaelewa kipanya tafadhali nifafanulie

    ReplyDelete
  4. ha ha haaa, kumbe kina george bush na hu na yes sir tuko wengi ee, mie mwenyewe sijaelewa kipanya ya leo, or 'kipanya cha leo' au labda kwa vile mpira is not richabo nini?? naona tu mtu kajichokea halafu anajifanya kafikisha milioni,

    anyway kazi yako inakubalika ki mausi

    ReplyDelete
  5. Sir Issa Michuzi...JK anahudhuriaga humu na kutoa maoni yake, kwahiyo ujumbe umefika..shukrani KP.. kama unabisha kwamba JK hachungulii humu ndani muulize basi..halafu waeleze.. kwasababu mimi sipendi ubishi...

    ReplyDelete
  6. Kweli kama gharama za kuwaleta real madrid ni kiasi hicho si busara.Ni bora hio pesa itumike kuboresha umeme bongo.

    ReplyDelete
  7. Jamani jamani jamani, chemsheni basi akili zenu nyie maanon ambayo hamjaelewa hiyo cartoon. Mpira umandikwa REAL MADREAD. Ukimaanisha hizo count ni hela za kulipia ziara ya real madread, ki ukweli ni ujumbe wa kisanii tu , hakuna mtu aweza danadana hadi mbilioni moja kama hajavimba miguu yote na kuzimia.

    Watz, matatizo tu. Mnashindwa kuelewewa lugha ya picha rahisi namna hii, hapa ingekuwa issue ya wanawake ungeshaona watu washachunguza kila kona ya cartoon. Shenzi type

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...